Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

Kupanga ni kuchagua. Wakati hao wanasali kwa jacho machozi, machungu, maumivu na damu, wenzao huku wana sali kilaiiinii kama vile wapo Santorini au visiwa vya Barbados
View attachment 2761518
wakiristo wanakila mbinu yakuibia watu🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣hawanikukumbatiana kwenda mbele wale nimwendo wabakora vurugu tupu
 
wakiristo wengi wajinga sana aibuyao hii
 
MWINGINE HUYU YALIMKUTA HUKO KIGOMA KAKUTANA NA GABRIEL 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Your browser is not able to display this video.
 
Mchungaji yuko sahihi kabisa, mtu mzima mwenye akili zako huwezi kupelekeshwa km mjinga usiye na misimamo.
Tena awatandike fimbo za kutosha na zikiisha tumsaidie kumletea nyingine
 
Wapumbavu sana hao
Kuna wengine nimeona mchungaji kapanda juu ya mti eti anapaa anaenda mbinguni kidogo kutalii
Yaani wanamuimbia kwa shangwe apae ila clip haionyeshi mwisho wake πŸ˜„
Au mpaka picha na wengi ni wanawake ndio wajinga zaidi

Huku wengine kuna clip watu wanachapa maiti ikiwa kwenye sanduku
 
Mbona alishapatikana wewe unaishi wapi? Yupo Paul Mckenzie aliwafukia km wote
Swala la Paul macknzie me naona Kuna Utata mwingi sana Tena sio kidogo Cuz ni vigumu Sana kukuta Mchungaji kama huyo mwenye kanisa changa....
Lisilo kuu kama haya Roman,Lutheran na mengine Kuwa na Waumini zaidi ya 500.....Naona hilo ni Swala la national security Huenda alikuwa na Watumishi hawzidi 100 na huenda waliokufa walikuwa chini ya 30 ila kuna Swala halijakaa sawa kwa Uchunguzi wa haraka haraka
 
Daaa hii hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…