Waumini Wamzawadia gari mpya Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Shoo

Yesu alitembea ya mguu,na ilipobidi sana alipanda punda.Farasi ilikuwa ni anasa zama hizo,ila skuizi watumishi wanakula tu Bata......smooth.
Hata kupanda punda pia ilikua anasa masikini hawakuweza kuafford, tofauti ya kipindi kile na cha sasa huyo Yesu angekuwa zama hizi basi angetumia Rangerover ya mwaka juzi isiyozidi mil200 na sio V8 new model ya zaid ya mil500, hakuna tofauti zote hizo ni anasa.

Alafu mjifunze kutafsiri mambo, Yesu hakuwa masikini, tukemee utapeli wa kidini lkn tusiubariki umasikin kwa kuhalalisha baadhi ya madhaifu ya hao manabii wa biblia kisa wao walikuwa mafukara basi nasie tuwe mafukara.
 
Yesu alitembea ya mguu,na ilipobidi sana alipanda punda.Farasi ilikuwa ni anasa zama hizo,ila skuizi watumishi wanakula tu Bata......smooth.
Yesu hakuwa maskini.
Vx..ndio mwana punda..km.0 hajapandwa.
Aidha alilipa kodi pia aliwalisha watu mikate na samaki mpaka wakasaza.
Vp we ushawahi walisha watu japo maandazi na dagaa....mpaka wabakishee?😜🤪😜
 
Utofauti wa wale wa TEC na wengine huanzia hapa!

Hiyo pesa ni kubwa sana, kama wangejitolea hata kujenga shule au hospital na kuipa jina lake kwa heshima ya mchango wake katika kanisa, nadhani ingekuwa bora zaidi.

Hapo running cost ya hilo gari ( wese+ service) ni gharama, ambazo pengine waumini watalazimika kuwa sehemu ya wahudumiaji.
 
Tukiwaambia dini ni utapeli mnatuona mashetani ,bado hamjasema[emoji1787][emoji1787]
 
Tafuta hela sio ukituona na hela nyingi unabwabwaja tuwape maskini.. basi nawewe hiyo hela uliyonunulia bando ungewapa maskini
 

Rangi yake inapendeza
 
Hii nchi bado tuna fikra za kimasikini sana aisee. Sasa mtu watu wamemchangia gar mbona kitu kidogo sana. Hiv mnajua hapo Kenya mwanasiasa mchovu kabisa hakosi bl 15 za ktz!!?. Hiv vitu tunashangaa coz tumezungukwa na umasikin sana so tunaona ajabu lakin hili ni jambo dogo sana hasa kwa waumin wa kilutheri kwa utoaji.
 
We unafikiri masikin na wahtaj wanaisha. Au umesahau jibu la Yesu.
 
Diuuu ina maana ukute gari limetoka DPW sababu kanisa limewakubali....tunadanganywa ni waumini...kwa lipi hasa Askofu Shoo alichofanya kwenye kanisa au nchi kupewa gari hilo bei kubwa sana....? Muda utaongea .....tusubiri tusiache kuomba wale waombaji kazi ni hiyoo
 
Is this news? So what to a starving man in the far village?
 
Wewe ni nani hadi uwapangie cha kufanya?

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi hata ukichukuliwa Mume utasingizia DP World.
Fikra za kimaskini zimekutawala sana , Shilingi 400 Million ni nyingi sana kwako na kwangu…wapo watu hizo fedha wananunulia Magari Mahawara hapa hapa Nchini

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
......nauliza kwa mahaba kwa lipi ? Amelifanyia kanisa ah nchi? Mengine yote siasa humo ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…