Angepewa gari zuri tu la gharama ya wastani isizidi 80m, kuna changamoto/shida nyingi sana kwenye jamii hata anayotoka yeye. Katika ela zilizochangwa sehemu kubwa zingeelekezwa kutatua shida mbali mbali. Tena ela yenyewe ya kuchanga, labda ingekuwa ya kwake binafsi