Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Acha kupotosha watu... wangap wanatoa hela but still wanagongewa
 
k



kama sala yako ndio kuomba kikombe hicho kikuepuke, na iwe hivyo ijapokuwa wengine tunaomba hivyo na bado hakituepuki!
Hahaah.Nguvu ya Papuchi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Msingi mkubwa wa mahusiano ni mawasiliano tena kwa pande zote mbili..kukishakuwa na kutegeana bila sababu za msingi jua kuna tatizo sehemu..... Yani mtu anaku-ignore bila sababu ya maana?? Nao ni unyanyasaji kwa kweli[emoji18]
Unyanyasaji wa kijinsia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Na haiwezi kuvumilika.
 
Pole Mzee, Sasa huyo Demu, unamtoa out hataki kukaa na wewe! Ina maanisha hajawa proud na wewe! Au hataki kukutambulisha kwa wenzake.
Duuh! Bora umempiga tu chini, wa nini sasa[emoji134]
 
Pema usijapopema ukipema si pema teena. Hakupendi huyo achana nae tu
 
Anasema "alikuwa mbali na simu"
Tena anasema "ona fulani na fulani wenyewe unaona walinipigia"

Nikiuliza mbona meseji hujajibu anasema "samahani nisamehe"

[emoji134] [emoji24]
Sasa ubaya uko wapi hapo kumbe hadi kajitetea na ushahidi anao.

Vitu vingine ni vidogo ila wewe kama wewe unaweza ukavifanya vikawa vikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…