PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Wakuu hii kitu sio rahis kama mnavodhani...unampenda mtu afu yeye haonyeshi kukujali inauma sana
Me nimetoka kumpiga kibuti demu kama huyo asubuh ya leo haiwezekan natoka nae out (bar) afu hataki kukaa na mimi
anataka akae na rafik zake tu muda wote...pia nikimtumia msg anachelewa kujibu anaweza kukaa hata dakika 20 ndio akakujibu cha kushangaza hana kazi unayoweza sema inamuweka bize..me nimelivua pendo bwana hata kama moyo unashindwa kukubaliana na maamuz yangu..ipo siku haya maumivu yatakwisha tu