Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

[emoji13] [emoji13] wemsamehe tu
Wenzio huwa tukizinguliwa hatusemi, maana roho ikiuma sana huwa tunajikuta tunarudi kulamba matapishi....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji134] .Mkuu vipi? Mbons unataka kuvuruga maamuzi yaliyokwisha tayari moyoni!?[emoji134]
 
Mkuu nilimaanisha hv.... Kama ww kweli sio mwanafunz ungekwisha utendea haki ushauri wa wadau hapa ndan... Fanya hivi mwache aende..
Sawa.Nimemwacha aende zake.
Sijazaliwa naye. Na yeye sio Mamangu.
 
KUNA AINA MBILI ZA WANAWAKE (Kulingana na mwitikio wao baada ya kujiridhisha anapendwa sana na niyeye tu aliyemteka kumoyo mwanaume fulani)

BAADA YA KUJUA UNAMPENDA SANA NA HUNA UJANJA.
1. Atakayekujali sana na kukufanya mtu wa karibu sana(best friend)
2. Atakayeridhika na kukufanya zoba na usishangae hata ukilazwa wiki nzima usimuone wala usisikie simu yake ya pole Ingawa anakuwa anakupenda sana na ukimwacha anaumia sana.

ndio maana utafiti bado unaendelea juu ya wanawake kujua ni viumbe wa aina gani
 
Kuna demu mmoja nilikuwa namtafuta mm mara nying,asa nkaona ngoja nijiondoe..nmekaa siku mbili bila kumtafuta,na yy akapiga kimyaa.
Asa jana mishale ya saa mbili usiku,akanitext "mimi naona sikufai,nikutakie maisha mema.pia nashkuru kwa muda wako ulio nipatia"
Nkapiga kimyaaa,mara akaja watsup akaniambia hvo hvo,nkasoma nkakaa kimya.mara akanitext teena,futa vitu vyangu pamoja na namba yangu ya simu,sihitaj mawasiliano na wewe teena.nkasoma halafu nkapiga kimyaaaa!
Mpka saiv hajanitext tena,

Vip wakuu,huyo nimjib au niendelee kupiga kimya?
Kula buyu mzee.. Atajishtukia mwenyewe. Hapo ni kama anatapatapa vile mfa maji anafanya.
 
Msingi mkubwa wa mahusiano ni mawasiliano tena kwa pande zote mbili..kukishakuwa na kutegeana bila sababu za msingi jua kuna tatizo sehemu..... Yani mtu anaku-ignore bila sababu ya maana?? Nao ni unyanyasaji kwa kweli[emoji18]
 
k
Wakuu, Habarini za mapumziko na Heka heka za kila siku.
Kuna kitu kinanitatiza mjumbe wenu;

Hivi Mwanamke anajisikiaje kuwa anapigiwa simu hapokei, Anatumiwa meseji hajibu. Na usipomtafuta, ndo basi hamuwasiliani (Yaani hadi umuanze wewe)
Na muda mwingine kwenye What's app meseji zinaonekana zimesomwa kabisa, lakini hajibu
Ukimlalamikia sana, baadae sana anakwambia neno "POLE GENIUSTIN"

Hii Tabia inamaanisha nini? Au Siku hizi nimeanza kuwa Mvulana!?maana hii Tabia inaniumiza sana. Wanaume wenzangu na wanawake, Naombeni mnifafanulie, Ili nishtuke usingizini, Kikombe hiki nikiepuke.

Nawasilisha.

kama sala yako ndio kuomba kikombe hicho kikuepuke, na iwe hivyo ijapokuwa wengine tunaomba hivyo na bado hakituepuki!
 
Kuna demu mmoja nilikuwa namtafuta mm mara nying,asa nkaona ngoja nijiondoe..nmekaa siku mbili bila kumtafuta,na yy akapiga kimyaa.
Asa jana mishale ya saa mbili usiku,akanitext "mimi naona sikufai,nikutakie maisha mema.pia nashkuru kwa muda wako ulio nipatia"
Nkapiga kimyaaa,mara akaja watsup akaniambia hvo hvo,nkasoma nkakaa kimya.mara akanitext teena,futa vitu vyangu pamoja na namba yangu ya simu,sihitaj mawasiliano na wewe teena.nkasoma halafu nkapiga kimyaaaa!
Mpka saiv hajanitext tena,

Vip wakuu,huyo nimjib au niendelee kupiga kimya?
Piga kimya mkuu atakutafuta tu.
 
Back
Top Bottom