binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 960
AsantAsante nitaufanyia kazi huu ushauriWahi mapema kujitafutia anaekufaa huyo si wako....
Wanasemaga jiongezeeeee
Hakunaga ubusy kwa unaempenda na kumjali na kama upo lazima utamtaarifu in advance ili asiumie......
Huyo ako na mwingine anaempea attention not you.
Usikawie kufanya maamuzi utaumia maradufu....
Nimekubali, Nipo kwenye Kulifanyia Kazi.Babuuu hamna kitu hapo,yupo anaemuanza yy kila baada ya masaa ww anakuchomesha mahindi tuu,.kusoma huwezi hata picha huonii????
Ila unachosema n kweli.inabidi mambo mengine...tuyaangalie kwa kina kabla ya kuchukua maamuziSasa ubaya uko wapi hapo kumbe hadi kajitetea na ushahidi anao.
Vitu vingine ni vidogo ila wewe kama wewe unaweza ukavifanya vikawa vikubwa.
Lengo n kuwa na mahusiano imara....na sio unaona weakness afu et unaipotezea...tuu kwa sababu umependa sana...cio kweli...Shauri yako. We speaking about anayofanyiwa na sio kugongewa. Kugongewa si siri ya ndani,kwanini sh ngapi.
Jishaue tu
Kweli mkuu na kwa miaka ya sasa mahusiano mengi yanavunjwa na simu.Ila unachosema n kweli.inabidi mambo mengine...tuyaangalie kwa kina kabla ya kuchukua maamuzi
Nashukuru...umekubali kuwa pesa sio suluhisho pekee la kumfanya mwanamke akupende au atulie na mtu...japo umejibu..kwa kuazisha ligi....Hata wa masikini wanaliwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji134] Umenigeuzia kibao[emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji23] [emoji23] [emoji119] .
Yeye ndo tatizo.
daah hiyo safi sana mkuu, we endelea kukausha hivo, hata kama unampenda we kimyaaaa ajifikiri weee mpaka atepete KwanzaKuna demu mmoja nilikuwa namtafuta mm mara nying,asa nkaona ngoja nijiondoe..nmekaa siku mbili bila kumtafuta,na yy akapiga kimyaa.
Asa jana mishale ya saa mbili usiku,akanitext "mimi naona sikufai,nikutakie maisha mema.pia nashkuru kwa muda wako ulio nipatia"
Nkapiga kimyaaa,mara akaja watsup akaniambia hvo hvo,nkasoma nkakaa kimya.mara akanitext teena,futa vitu vyangu pamoja na namba yangu ya simu,sihitaj mawasiliano na wewe teena.nkasoma halafu nkapiga kimyaaaa!
Mpka saiv hajanitext tena,
Vip wakuu,huyo nimjib au niendelee kupiga kimya?
Acha tu maumivu yake nayaelewa, bora kuish peke ako kuliko kuishi na uhusiano usiokuwa na afyaInauma sana Ndugu.
Ee Mungu hii tabia ya auntie isiwe imerithiwa na yule bintiye, hata kama ipo naomba iparalize nienjoy maisha rahisi yasiyo ya mashindanoVipi pesa huwa unatoa? Au una kazi ya kupiga piga simu na kutuma tuma tu meseji?
Hommie, huyu ndiye uliyeniambia au nimsubirie mwingine?
mwacheni jamn, asimlazimishe.Basi jiongeze.
Inauma sana Ndugu.
Acha tu maumivu yake nayaelewa, bora kuish peke ako kuliko kuishi na uhusiano usiokuwa na afya
Yeye si anapeti peti bila kutoa pesa, sasa hapo inamaana ktk hilo kinachomiss ni pesa.Nashukuru...umekubali kuwa pesa sio suluhisho pekee la kumfanya mwanamke akupende au atulie na mtu...japo umejibu..kwa kuazisha ligi....