Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mambo ndo hayo, maisha yenyewe yapi kwaniiiiiiiiiiiii........Hahhaha.Inabidi twende Pm, Tukajuane vizuri.
Maono ya Mhenga hatuwezi kuyatupilia mbali[emoji39] .
Na ndio wajanja washakuwahi.hewalaaaaaaaaaaaaa........!!!
Shukrani mkuu kwa ushauri Maridhawa. Niko na Implement Ushauri wote, NimeStop kuwasiliana naye.Najua utakua umepungua uzito,umepunguza ufanisi wa kazi zako au masomo endapo ni mwanafunzi,huli, hulali, huwazi chanel mpya za pesa na kadhalika ila kwa ushauri acha ujinga wa kujipendekeza kwani mapenzi ni pande mbili zinazoshibana na kulingana hisia,kukumbukana na hata mioyo huwa inawasiliana.Chukua kalamu uorodheshe faida unazopata kwa huo uhusiano halafu fuata na mambo yasiyokufurahisha na kama utaona faida ni nyingi endelea na kata mawasiliano endapo huoni faida. Na kama unampenda sana mpe muda arekebishe hizo kasoro na endapo mpaka muda ulompa bado yako vilevile piga chini na uwe na msimamo. Wanawake wa namna huyo hupenda sana kujirudi akishaona ndo anaachwa USIJIROGE KURUDIANA MAANA HATOBADILIKA.
hii txt yako hata sijaiona [emoji53]Na ndio wajanja washakuwahi.
Daah,polee saana mkuu.najua mateso unayopitia,binafs ni muhanga ktk hlo.niliwah pitia hyo hali mwaka 2015 mwez wa 12.sito sahau..yaan unajikuta unataman ufe kabisa,huon umuhimu wa maisha,huwez kula vizur wala kulala vzuri.muda wote unakumbuka zile good moments.binafsi nilichanganyikiwa kabisa,hata kuoga nilikuwa siogi..ilipelekea hata kuharibu issue kadhaa kazini kwangu.namshukuru Mungu nilivuka salama,nawashukuru wadau wa jamii forums walinitia saana Moyo.unaweza cheki nyuz zangu humu,ukifungua profile yangu halafu angalia thread inayosema "nipo njia panda"Hajanicheki asee...ngoja,Tuendelee na Movie.
Mkuu huyo usimjubu kaa kmya hvo hvo...nw atakua ana umua sanaaa japo hakutak ila kutokumjib tu n pigo tosha.Kuna demu mmoja nilikuwa namtafuta mm mara nying,asa nkaona ngoja nijiondoe..nmekaa siku mbili bila kumtafuta,na yy akapiga kimyaa.
Asa jana mishale ya saa mbili usiku,akanitext "mimi naona sikufai,nikutakie maisha mema.pia nashkuru kwa muda wako ulio nipatia"
Nkapiga kimyaaa,mara akaja watsup akaniambia hvo hvo,nkasoma nkakaa kimya.mara akanitext teena,futa vitu vyangu pamoja na namba yangu ya simu,sihitaj mawasiliano na wewe teena.nkasoma halafu nkapiga kimyaaaa!
Mpka saiv hajanitext tena,
Vip wakuu,huyo nimjib au niendelee kupiga kimya?