Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,365
- 2,842
Kuna jamaa yangu alikuwa na tatzo kama lako..asa akamwambia mpenz wake kuwa kwanin hamtafut had amtafute yeye na kwanin hamjibu text,akijibu anajibu kwa kusua sua.Anasema "alikuwa mbali na simu"
Tena anasema "ona fulani na fulani wenyewe unaona walinipigia"
Nikiuliza mbona meseji hujajibu anasema "samahani nisamehe"
[emoji134] [emoji24]
Jamaa akajivika ujasiri akamwambia "au na mimi nisiwe nakutafuta?" Mtoto wa kike akamjibu "tena ukiamua na whatsap niblock au na namna yangu ifute kabisa"