Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Wahi mapema kujitafutia anaekufaa huyo si wako....
Wanasemaga jiongezeeeee
Hakunaga ubusy kwa unaempenda na kumjali na kama upo lazima utamtaarifu in advance ili asiumie......
Huyo ako na mwingine anaempea attention not you.
Usikawie kufanya maamuzi utaumia maradufu....
AsantAsante nitaufanyia kazi huu ushauri
 
Babuuu hamna kitu hapo,yupo anaemuanza yy kila baada ya masaa ww anakuchomesha mahindi tuu,.kusoma huwezi hata picha huonii????
Nimekubali, Nipo kwenye Kulifanyia Kazi.

Sijamtafuta tangu asubuhi nilipomtumia Meseji ya Morning, na Alikuja kunijibu Mchana.

Sijamtumia tena, na yeye hajanitafuta tena. Wacha Movie iendelee.
 
Sasa ubaya uko wapi hapo kumbe hadi kajitetea na ushahidi anao.

Vitu vingine ni vidogo ila wewe kama wewe unaweza ukavifanya vikawa vikubwa.
Ila unachosema n kweli.inabidi mambo mengine...tuyaangalie kwa kina kabla ya kuchukua maamuzi
 
Shauri yako. We speaking about anayofanyiwa na sio kugongewa. Kugongewa si siri ya ndani,kwanini sh ngapi.

Jishaue tu
Lengo n kuwa na mahusiano imara....na sio unaona weakness afu et unaipotezea...tuu kwa sababu umependa sana...cio kweli...
 
Babuuu hamna kitu hapo,yupo anaemuanza yy kila baada ya masaa ww anakuchomesha mahindi tuu,.kusoma huwezi hata picha huonii????
Picha ndo imekuja asee, Nilikuwa Gizani.
 
Achana na uyo mwanamke atakupotezea muda mwingi mkuu,... Wanawake hawajui kupenda,
 
Kuna demu mmoja nilikuwa namtafuta mm mara nying,asa nkaona ngoja nijiondoe..nmekaa siku mbili bila kumtafuta,na yy akapiga kimyaa.
Asa jana mishale ya saa mbili usiku,akanitext "mimi naona sikufai,nikutakie maisha mema.pia nashkuru kwa muda wako ulio nipatia"
Nkapiga kimyaaa,mara akaja watsup akaniambia hvo hvo,nkasoma nkakaa kimya.mara akanitext teena,futa vitu vyangu pamoja na namba yangu ya simu,sihitaj mawasiliano na wewe teena.nkasoma halafu nkapiga kimyaaaa!
Mpka saiv hajanitext tena,

Vip wakuu,huyo nimjib au niendelee kupiga kimya?
daah hiyo safi sana mkuu, we endelea kukausha hivo, hata kama unampenda we kimyaaaa ajifikiri weee mpaka atepete Kwanza
 
Vipi pesa huwa unatoa? Au una kazi ya kupiga piga simu na kutuma tuma tu meseji?
Ee Mungu hii tabia ya auntie isiwe imerithiwa na yule bintiye, hata kama ipo naomba iparalize nienjoy maisha rahisi yasiyo ya mashindano
 
Nashukuru...umekubali kuwa pesa sio suluhisho pekee la kumfanya mwanamke akupende au atulie na mtu...japo umejibu..kwa kuazisha ligi....
Yeye si anapeti peti bila kutoa pesa, sasa hapo inamaana ktk hilo kinachomiss ni pesa.

Kwa masikini kinachomiss ni pesa na kwa tajiri kinachomiss ni kupetipeti.
 
Back
Top Bottom