Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Ee Mungu hii tabia ya auntie isiwe imerithiwa na yule bintiye, hata kama ipo naomba iparalize nienjoy maisha rahisi yasiyo ya mashindano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una bahati hajarithi, yeye kwake pesa ni bonus tu.
 
Huko sahihi kabisa!
 
Yanipasa nijenge vibanda vitatu, kimoja chako, kingine cha Daby na kingine cha Elia.

Kwa maana nimeshindwa kukesha nawe japo kwa saa moja.

amin amin nakwambia hapo moto utashuka ule wa sodoma na gomora utasubiri! umesema na cha nani?
 
mnaonaje mkajiunganisha? hamuoni kuwa mnaweza tengeneza best combo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] Kweli eeh! Ngoja niende naye pm,

Ila hilo neno Rombo linanipa ukakasi[emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] Kweli eeh! Ngoja niende naye pm,

Ila hilo neno Rombo linanipa ukakasi[emoji23]
wako fresh sana mkuu, nakuhakikishia. acha imani potufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…