Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Ee Mungu hii tabia ya auntie isiwe imerithiwa na yule bintiye, hata kama ipo naomba iparalize nienjoy maisha rahisi yasiyo ya mashindano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una bahati hajarithi, yeye kwake pesa ni bonus tu.
 
Ndio hapo sasa.
Wewe una hangaika wakati yupo ambae akintumia sms anajibu hapo hapo hazipiti hata dakika 2. Hutujui wanawake ndio nakuambia sasa, tujichoka watu basi tunaanza visa aiseee sitopokea simu yako mpaka ukome na uache wewe. Ila mtumie ela tu, atakuheshimu.
Huko sahihi kabisa!
 
Yanipasa nijenge vibanda vitatu, kimoja chako, kingine cha Daby na kingine cha Elia.

Kwa maana nimeshindwa kukesha nawe japo kwa saa moja.

amin amin nakwambia hapo moto utashuka ule wa sodoma na gomora utasubiri! umesema na cha nani?
 
mnaonaje mkajiunganisha? hamuoni kuwa mnaweza tengeneza best combo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] Kweli eeh! Ngoja niende naye pm,

Ila hilo neno Rombo linanipa ukakasi[emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] Kweli eeh! Ngoja niende naye pm,

Ila hilo neno Rombo linanipa ukakasi[emoji23]
wako fresh sana mkuu, nakuhakikishia. acha imani potufu.
 
Back
Top Bottom