Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Anasema "alikuwa mbali na simu"
Tena anasema "ona fulani na fulani wenyewe unaona walinipigia"

Nikiuliza mbona meseji hujajibu anasema "samahani nisamehe"

[emoji134] [emoji24]
Kuna jamaa yangu alikuwa na tatzo kama lako..asa akamwambia mpenz wake kuwa kwanin hamtafut had amtafute yeye na kwanin hamjibu text,akijibu anajibu kwa kusua sua.
Jamaa akajivika ujasiri akamwambia "au na mimi nisiwe nakutafuta?" Mtoto wa kike akamjibu "tena ukiamua na whatsap niblock au na namna yangu ifute kabisa"
 
Mkuu huyo usimjubu kaa kmya hvo hvo...nw atakua ana umua sanaaa japo hakutak ila kutokumjib tu n pigo tosha.
Ukimjibu tu umekidh matakwa yake...pga kmya bossss!! Usithubutuuu!! Kumjibu
Shukran kwa ushaur mkuu
 
Asante Mzee mzima, Hapa JF imekuwa ndo mfariji wangu wa haya maamuzi magumu ninayokwenda kuyafanya.
..kuna mmoja amenifanyia kama wewe nimemute kimya,..akituma sms sijibu,akipiga simu dipokei,..watsapp kimya...
 
Nimekubali, Nipo kwenye Kulifanyia Kazi.

Sijamtafuta tangu asubuhi nilipomtumia Meseji ya Morning, na Alikuja kunijibu Mchana.

Sijamtumia tena, na yeye hajanitafuta tena. Wacha Movie iendelee.
..series ya2 hiyo,..
 
Kusoma alama za nyakati hujui mkuu... Ina maana hata picha nayo huioni mbona ipo so "well painted" to be vividly visualized hata kwa asiye na uoni huru au hata ambaye uoni wake upo ndani ya "jela" ya mapenzi au "mahabusu" ya "mahaba" picha hii anaweza kuiona bila wasiwasi mkuu... Amka toka usingizini osha uso wako kwa maji yanaitwa "reality" kuondoa hilo tongotongo zito la "huba" lilitoweka wingu zito kwenye "uoni" wako!!
 
Kaushaaa...ishatoka hio!!!
Akileta kidude pasua halafu endelea kula buyu!
 
Hahahahah, i like the first type.
 
Stuka kijana huyo si wako...
Ondoka mapema achana nae mtafute mwingine...
 
This is true, i was once in hell baada ya kurudiana na mwanamke kwa kumuonea huruma.
 
Ahahahahahhhhahahahh.Balaaa, Unaweza jinyonga.
 
Sawa Mkuu.
 
Mtoto mgumu huyu sijapata kuona,ahahahaha. Hata salamu hatoi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji134] [emoji24]
 
Hakupendi

Acha kupoteza muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…