Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Ukiona mjanja kapendwa jua zuzu katendwa na ukiona zuzu katendwa jua Kuna mjanja kapendwa

Pengine wakati huu unalia huku jf Kuna Mjinga anabembelezwa huko kuwa mwanaume mapenz na uvulana ni vitu viwl tofauti kabsa
Word mkuu mwambie aache kulia lia
 
Acha kulazmisha mapenz... Chukua chako mapema sepaaa na usiangalie nyuma!
 
Huyo ni mkeo au mchepuko?
Penzi unapewa au hupewi?
Kama ni mkeo sina ushauri, kama ni mchepuko na ww kausha tafuta mchepuko mwingine, kama akikutafuta na shida zake kula mzigo kwanza kisha hata kama unaweza kumtatulia kwa muda huo MPE kidate akija kula mzigo endelea kuuchuna.
 
kwny mapenzi akuna uvulana wala uanaume unaweza ukawa mwanaume na ukasumbuliwa na mwsnamke vilevile unaweza ukawa mvulana ukamteka mwanamke kiakilu mpaka aka data kwaiyo ishu ya mapenzi akunaga ukubwa wala udogo..

uyo mwanamke akupendi....
 
Sio Mke, Cause bado sijaoa.
Ni Mchepuko. Ila ndo shida zake hizo nilizozisema juu kule.

Thanks Mkuu, Ujumbe Taken.
 
ni kweli tunazo, ila je huenda zimekufanyia smelting?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

CC Asprin, hebu mlete huyu chamani
Hommie sina kumbukumbu kama file la kajunjumele limeshafika ofisini.

Ngoja nifuate taratibu za chama kumfanyia smelting kwenye makinikia yake.
 
Kaizer ni huyu kajunjumele uliyeniambia au tusubirie mwingine?

Kwamaana imeandikwa, wote ulionipa, sitampoteza hata mmoja.
ndio huyu nimemleta kwako umhukumu kwa sheria yetu ile......hawezi kututukana hivyo kisha abaki salama
 
ndio huyu nimemleta kwako umhukumu kwa sheria yetu ile......hawezi kututukana hivyo kisha abaki salama
Huyu kwetu ni makinikia... unaniruhusu nitumie smelter yetu nimchenjue??

 
Ugua magonjwa yote ila sio mapenzi...unajitoa kumsalimia eti mwenzio ana mute tu dah! Jitoe pole pole puuzia na ww
 
Ameshahamisha moyo wake kwa mwingine mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…