Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Hiii yani unamfkiriiiia utazan yupo mwenyewe kwenye hii dunia dawa ya moto ni moto tuuu acpokutafta ucmtafte naww.Mtu anaekupenda lazima apiganie penz wewee ctukaaa usiaibishe wanaume apaaaa
 
Umemaliza kazi, piga kimya
 
Tuanze hapa kwanza.....una miaka mingapi? Yaani unashindwa kujitambua kuwa demu ana mchepuko wake na wewe hana haja nawe tena?
 
Boss acha kushusha brand yako unatumaje messeg kwa dem wiki zima we usitume messeg wala kupiga tafta substitute yake iwe kali zaid yake
 
nakazia!
 
Action speaks louder than words. Hana interest , you are not her priority
 
kijana punguza kitambi narudia tena punguza maneno mengi mwanamke anampenda mwanaume really ww unamaneno vitendo zero mwisho tafuta pesa hapa mjini
 
Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Dah! Yule mwanamke nilimwacha miaka ile ile, ila niling'ang'ania kidogo mpaka akili iliponikaa sawa[emoji23] nikasema inatosha, alinipeleka polisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kuna purukushani moja ilitokea, mlango wa sebureni kwake ukavunjika(ilitokea ishu moja, akawa anakimbilia ndani...akafunga mlango chaap, mimi nafika nakuta mlango ndo anauLock, nikapiga teke[emoji23], ukavunjika mbao za chini)

Akaenda kunishtaki polisi[emoji23]...nikashtukia naitwa Dawati la jinsia[emoji23]...nilivyotoka kweny ule mlango wa Dawati la jinsi, akili ikanirudi...sijawahi kumtafuta(ofcoarse kutafutana) wala kumuona hadi leo.

Maisha yamesonga.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Jambo jema.
Pole kwa yaliyokukuta na HongeraSana
 
Kama mtu akiniomba ushauri kuhusu mapenzi na wanawake kwa sasa basi jibu rahisi ni kuachana nayo tu.katika vitu vyote basi mapenzi ya sasa ni upuuzi.
 
Pole na hongera kutoka kwenye hicho kifungo.
 
Duuh pole sana mkuu[emoji16][emoji16][emoji1787], Ila najua kwa sasa upo na mwingine sasa bila shaka huyu si kama yule.

All in all tunashukuru kwa mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…