Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Sasa ubaya uko wapi hapo kumbe hadi kajitetea na ushahidi anao.

Vitu vingine ni vidogo ila wewe kama wewe unaweza ukavifanya vikawa vikubwa.
Sasa ndo kila Siku, Majibu hayo hayo.
Khaa![emoji134]
 
Pole mkuu, huyo hakutaki tena, malizana naye sasa hivi, roho itauma lakini itapoa tu.
 
Kama unaumia sana na huyo binti haujamtambulisha kwenu, tafuta mwanamke mwingine ndiyo dawa pekee ya tatizo linalokukabili la sivyo utaumia na mwishowe kufanya maamuzi ya hovyo. Kuna asilimia kubwa huyo mwanamke akawa amepata jamaa mwingine..!!!
 
Thanks.
 
Babuuu hamna kitu hapo,yupo anaemuanza yy kila baada ya masaa ww anakuchomesha mahindi tuu,.kusoma huwezi hata picha huonii????
 
Wakuu,

Habarini za mapumziko na heka heka za kila siku.

Kuna kitu kinanitatiza mjumbe wenu;

Hivi mwanamke anajisikiaje kuwa anapigiwa simu hapokei, anatumiwa meseji hajibu. Na usipomtafuta, ndo basi hamuwasiliani (yaani hadi umuanze wewe)
Na muda mwingine kwenye What's App meseji zinaonekana zimesomwa kabisa, lakini hajibu ukimlalamikia sana, baadae sana anakwambia neno "pole GENIUSTIN"

Hii tabia inamaanisha nini? Au siku hizi nimeanza kuwa mvulana? Maana hii tabia inaniumiza sana. Wanaume wenzangu na wanawake.

Naombeni mnifafanulie, ili nishtuke usingizini, kikombe hiki nikiepuke.

Nawasilisha.
Unachofanyiwa ndo ninachofanyiwa mim na huyu bwana ,nimeamua kujitoa
 
Back
Top Bottom