Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
Sura ka umelamba ndimu...
muone miguu miembambaa ka ilichomekwa..
Lione... jimwanamke fupiiii, disco lashikwa kichwa badala ya kiuno ....
Hujaeleweka mkuu au umekurupuka [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Apo chacha!!
Enzi hizo za utoto nakumbuka kulikuwa kuna kamchezo cha kupeana matani.
Sasa mimi natoa hii,wewe ongezea lako
Twende twende twende kichwa kama le mutuz
Mi mwenyewe sijakuelewa mkuu au mkurupukoHujaeleweka mkuu au umekurupuka [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Uso mpana kama ya chupi ya defaoMi mwenyewe sijakuelewa mkuu au mkurupuko
Twende twende twende maskio kama mlango wa difendaUso mpana kama ya chupi ya defao
Twende twende twende kichogo kama kona ya sambusaTwende twende ndiyo maana kwenu mlo wa usiku mnafunga pipi juu inaning'inia kila mtu akipita ana lamba anaenda kulala,sasa we ukanogewa mpaka ukaitafuna yote baba yako alikuchapa siku hiyo huji kusahau twende twende...
Kwenu kuchafu mpaka mende na nzi wanavaa yeboyeboTwende twende twende maskio kama mlango wa difenda
Twende twende kichwa ka kilungu cha mmasaiTwende twende mbaya ka mtoa post
Twende twende mwembamba ka nyungunyungu.Kwenu kuchafu mpaka mende na nzi wanavaa yeboyebo
Twende twendeeee
Una nywele ngumu kama mkutano wa nziTwende twende mwembamba ka nyungunyungu.