Wauza chapati tuwape maua yao, wanatuokoa sana sisi mabachela

Hakuna chakula nachokipenda kama chapati,ntavunja milango ya magereza kuzitafuta chapati.Ziwe za maji ,ziwe zakawaida ,ziwe za kurasa mi nachapa tu.Naweza kula chapati mwaka mzimaa.
 
Unapenda kushushia na kitu gani, chai au supu?
Mimi nakula na kitu chochote hata kavuu.Ila nikipata rosti maini ,maharage yaliyopikwa vizuri nikashushia na lite moja ya baridiii mnoo.This photo can cure a man's anger &hunger at the same time.
 

Attachments

  • Screenshot_20240820-213433.jpg
    303.2 KB · Views: 2
Mimi nakula na kitu chochote hata kavuu.Ila nikipata rosti maini ,maharage yaliyopikwa vizuri nikashushia na lite moja ya baridiii mnoo.This photo can cure a man's anger &hunger at the same time.
Sifa ya chapati ipate mpishi mzuri, hasa watu wa pwani ndyo mafundi zaidi
 
Mnawaza Kula tu wakati hampendi kulima.
 
Kipindi nipo Chuo nilikuwa na zunguka sana hapo mabibo mwisho dsm nakula sana chapati nne na maharage Kila sku jioni Asee washukuriwe sana wale vijana na kinamama supu
Huku kwetu chapati 300/- tu
 
Ukizipata na Maini rosti yenye pilipili kiasi na Maziwa freshii...!!"Utamu mpaka Kisogoni"
 
Mapupu tumeanza kula Kiria bar we sijui ulikua wapi,
tukahamia Europa buguruni unaijua,mabibo loyola kwa mama bonge je.
Huko ndo supu mapupu,bandama,kichwa koromei utapata asubuhi kuanzia sa 12.
Loyola pale kuna kibar kimoja kinaguest mwanangu kipind hiyo nagonga asubuhi na mapema sambili nawahi Bakuli zito
 
Hivi nani aligunduaga Chai na chapati mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…