Wauza chapati tuwape maua yao, wanatuokoa sana sisi mabachela

Hapa town kwa sasa kila kona hawa jamaa wapo, wanapika chapati nzuri na napenda sana namna wanavyo pika na kugeuza chapati kwa madoido.

View attachment 3075060
Wanatuokoa sana sisi mabachelor, kwa 500/= tu unachukua chapati ya uhakika, sio zile za mama lishe ambazo ni nyepesi kama vitambaa.

Wanaofanya biashara hii wengi ni vijana wakiwa kama kundi, napenda ninunue kwao ili niwasapot katika biashara zao.

Big up sana kwa vijana wote walio ungana na kufanya hii biashara naamini inawalipa vizuri kwani wateja ni wengi sana kwa sasa.

Hapa nipo njiani narudi home na nitapita sehemu nipate zangu mbili tu, na kasupu kamato ka utumbo hapo nimeimaliza siku kibingwa kabisa.
Nikuwa chuo after break ni chapati na kachumbari natoa fimbo moja (bange) narudi class
 
Pia kuna wale vijana wanapika vitumbua jioni mitaani,
Kwenye vitumbua mimi ndio nimekwisha kabisa
1724169428666.png
 
Hapa town kwa sasa kila kona hawa jamaa wapo, wanapika chapati nzuri na napenda sana namna wanavyo pika na kugeuza chapati kwa madoido.

View attachment 3075060
Wanatuokoa sana sisi mabachelor, kwa 500/= tu unachukua chapati ya uhakika, sio zile za mama lishe ambazo ni nyepesi kama vitambaa.

Wanaofanya biashara hii wengi ni vijana wakiwa kama kundi, napenda ninunue kwao ili niwasapot katika biashara zao.

Big up sana kwa vijana wote walio ungana na kufanya hii biashara naamini inawalipa vizuri kwani wateja ni wengi sana kwa sasa.

Hapa nipo njiani narudi home na nitapita sehemu nipate zangu mbili tu, na kasupu kamato ka utumbo hapo nimeimaliza siku kibingwa kabisa.
Sawa
 
💐💐💐
 
Mkuu umeoa? basi kama ni bachelor ni sawa kwa kweli kupika na kuosha sufuria ni kipengele.Pole sana
 
Back
Top Bottom