Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni zile ukiangalia katikati unaona upande wa piliHuku kwetu chapati 300/- tu
Saivi wanafunzi wa vyuo wanaiita "komasava"Mnaivunjia heshima mnapoiita mihogo
Enzi zetu miaka ya 90 ilikuwa inaiitwa Chips Dume
Boss naishi kisemvule,Kila kona ya mji hawa jamaa wapo na eneo unalo ishi ukienda maeneo ya barabarani tu utawakuta
Unaijua supu ya mapupu? Hiyo iko vizuri sana siku ijaribu hutojutiaWengine supu tu na chapati 1 mpaka utishiwe nyoka ndo umalize.
Kuna watu mna vipaji.
Nikuwa chuo after break ni chapati na kachumbari natoa fimbo moja (bange) narudi classHapa town kwa sasa kila kona hawa jamaa wapo, wanapika chapati nzuri na napenda sana namna wanavyo pika na kugeuza chapati kwa madoido.
View attachment 3075060
Wanatuokoa sana sisi mabachelor, kwa 500/= tu unachukua chapati ya uhakika, sio zile za mama lishe ambazo ni nyepesi kama vitambaa.
Wanaofanya biashara hii wengi ni vijana wakiwa kama kundi, napenda ninunue kwao ili niwasapot katika biashara zao.
Big up sana kwa vijana wote walio ungana na kufanya hii biashara naamini inawalipa vizuri kwani wateja ni wengi sana kwa sasa.
Hapa nipo njiani narudi home na nitapita sehemu nipate zangu mbili tu, na kasupu kamato ka utumbo hapo nimeimaliza siku kibingwa kabisa.
Ukifika Mbagala shuka uchukue kadhaa uende nazo hukoBoss naishi kisemvule,
Na ukila mbili asubuhi ndyo mpaka usiku tena ndy unakulaNikuwa chuo after break ni chapati na kachumbari natoa fimbo moja (bange) narudi class
Pia tusisahau na wake wauzaji wa pweza na kachoriPia kuna wale vijana wanapika vitumbua jioni mitaani,
Kwenye vitumbua mimi ndio nimekwisha kabisa
View attachment 3075091
SawaHapa town kwa sasa kila kona hawa jamaa wapo, wanapika chapati nzuri na napenda sana namna wanavyo pika na kugeuza chapati kwa madoido.
View attachment 3075060
Wanatuokoa sana sisi mabachelor, kwa 500/= tu unachukua chapati ya uhakika, sio zile za mama lishe ambazo ni nyepesi kama vitambaa.
Wanaofanya biashara hii wengi ni vijana wakiwa kama kundi, napenda ninunue kwao ili niwasapot katika biashara zao.
Big up sana kwa vijana wote walio ungana na kufanya hii biashara naamini inawalipa vizuri kwani wateja ni wengi sana kwa sasa.
Hapa nipo njiani narudi home na nitapita sehemu nipate zangu mbili tu, na kasupu kamato ka utumbo hapo nimeimaliza siku kibingwa kabisa.
💐💐💐Hapa town kwa sasa kila kona hawa jamaa wapo, wanapika chapati nzuri na napenda sana namna wanavyo pika na kugeuza chapati kwa madoido.
View attachment 3075060
Wanatuokoa sana sisi mabachelor, kwa 500/= tu unachukua chapati ya uhakika, sio zile za mama lishe ambazo ni nyepesi kama vitambaa.
Wanaofanya biashara hii wengi ni vijana wakiwa kama kundi, napenda ninunue kwao ili niwasapot katika biashara zao.
Big up sana kwa vijana wote walio ungana na kufanya hii biashara naamini inawalipa vizuri kwani wateja ni wengi sana kwa sasa.
Hapa nipo njiani narudi home na nitapita sehemu nipate zangu mbili tu, na kasupu kamato ka utumbo hapo nimeimaliza siku kibingwa kabisa.
Mkuu umeoa? basi kama ni bachelor ni sawa kwa kweli kupika na kuosha sufuria ni kipengele.Pole sanaHapa town kwa sasa kila kona hawa jamaa wapo, wanapika chapati nzuri na napenda sana namna wanavyo pika na kugeuza chapati kwa madoido.
View attachment 3075060
Wanatuokoa sana sisi mabachelor, kwa 500/= tu unachukua chapati ya uhakika, sio zile za mama lishe ambazo ni nyepesi kama vitambaa.
Wanaofanya biashara hii wengi ni vijana wakiwa kama kundi, napenda ninunue kwao ili niwasapot katika biashara zao.
Big up sana kwa vijana wote walio ungana na kufanya hii biashara naamini inawalipa vizuri kwani wateja ni wengi sana kwa sasa.
Hapa nipo njiani narudi home na nitapita sehemu nipate zangu mbili tu, na kasupu kamato ka utumbo hapo nimeimaliza siku kibingwa kabisa.
Sijaoa Sometimes huwa napika lakini sio mara zoteMkuu umeoa? basi kama ni bachelor ni sawa kwa kweli kupika na kuosha sufuria ni kipengele.Pole sana
Baaaasiiiii! Tumekwisha! (kwa sauti ya Joti)
Hizo ni zile carbon paper.Huku kwetu chapati 300/- tu