Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ,naunga mkono hojaWanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.
Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akanza kula akiwa kivulini utanishukuru
Kati ya mambo niliyojifunza, shida sio kipimo cha tabia njema, muwekee mazingira ambayo hizo shida hazitokuwepo ujue tabia yakeWanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.
Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
Utakapo shindwa ku-meet expectations zake sijui itakuwajeWakishua ndio wa kuoa maana hakuna Cha kuwazuzua
Kumbe 😂Wakishua ndio wa kuoa maana hakuna Cha kuwazuzua
Jaribu then utupe mrejeshoWanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.
Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
True words have never been saidKati ya mambo niliyojifunza, shida sio kipimo cha tabia njema, muwekee mazingira ambayo hizo shida hazitokuwepo ujue tabia yake
Hivyo yani!Kumbe 😂
Haitatokea duniani uka meet expectations sio tu za mwanamke ni za binadam yeyote never ever but guarantee ya wa kishua Kutulia ni kubwaUtakapo shindwa ku-meet expectations zake sijui itakuwaje
Usijalibu kumuoa mke Kwa kumuhurumia eti anashida, utakuja kulia kilio ambacho hakina mwisho .....Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.
Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
Kwa jinsi ninavyojua wanawake,Haitatokea duniani uka meet expectations sio tu za mwanamke ni za binadam yeyote never ever but guarantee ya wa kishua Kutulia ni kubwa
PoapoaKwa jinsi ninavyojua wanawake,
Loyalty na hali ya maisha havina uhusiano kabisa.
Ila sawa, wewe oa wa-kishua wako.