Wauza mbogamboga ndiyo wanawake wa kuoa

Wauza mbogamboga ndiyo wanawake wa kuoa

Siku zote nilitaman sana kuwa na mwanamke wa namna hyo,wauza sokoni

Maana niliamin wana elimu ya kitaa wanaweza nisaidia mim ambae muda wangu mwingi niliutumia shuleni lakin bahat mbaya slay queen mmoja akaniganda kama ruba
 
😂😂😂umenikumbusha mbali. Our colleague alioa mtu wa usafi ufisini, yule dada aisee akifanya usafi mtu unakubali. Hukuti buibui, vimbi, vioo vya madirisha hadi anapanda kwa juu atoe vumbi, floor yaani kila kitu kinakaa mahali Pake. Weekend anamuita kwake anafua, anapika anaosha vyombo na usafi wa nyumbani.
Sura nzuri hana maneno mengi, basi akaona mke ni huyu ngoja aoe😂
Akafanya maandalizi kweli akamuoa. Wakaenda honeymoon vizuri wakarudi, picha likaanza.
Kupika hapiki ni chips tuu, usafi hakuna tena anadai anataka house helper yeye hawezi fanya kazi kila siku. Kufua tena sio kazi zake ni mtu wa kufua aje😂😂kiufupi mambo yakawa nje ya matarajio
 
2F42AC21-7776-4E12-8EEF-2E3896C9BDEF.jpeg
 
Ni kama unataka kufukuza paka halafu badala ya kufuga mbwa ukaamua kufuga mbuzi🐒
 
Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.

Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
Wakati wa kuomba kazi kila mtu mikono huwa nyuma subiri apate kazi anaanza hadi kuchelewa na kujibu nyodo wasimamizi wake.

Sijui kama tunawasiliana na mleta mada?
 
Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.

Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
Wanakuwa na hakili sana unakuta na acheza michezo akai kzembe
 
Unamvuta ale kiivulini, na yeye anamvuta mwenzake wale pamoja kwenye kivul chako!. 😂😂😂
Hayana muongozo hata kidogo
 
Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.

Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
Mwa
Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.

Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
Mwanamke asikupende Kwa sababu umemtia kwenye shida.Utamfanya Aishi kama mtumwa.Akupende tu kutoka moyoni.
 
Back
Top Bottom