Wauza mbogamboga ndiyo wanawake wa kuoa

Wauza mbogamboga ndiyo wanawake wa kuoa

Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.

Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akaanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
Hao wote watembeza mboga ni wazazi/single mother!
 
Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.

Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akaanza kula akiwa kivulini utanishukuru.

Pata Pesa watu wajue TABIA yako
 
Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.

Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akaanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
Wengi wao huuza wakiwa washakosea mahali
They have nothing to lose.....ni nadra kumkuta Binti akiwa at her hot age akifanya hizi biashara
 
Balqior njoo huku huenda ukapata ubavu wako unaoutafuta
Hahaha wadada wa jf, kwanza hawa wadada wenyewe wa humu jf ukiwafata pm hata kama uko serious, watakuona wewe ni muongo muongo, Yani the fact tu kwamba wewe ni mwanaume wa jf, first impression ishaharibika Kapeace
 
Wanasemwa wadada wauza mbogamboga sio wa jf tumejaa omba omba
 
Back
Top Bottom