Wauza mechi hiki kipindi cha baridi msisahau kununua ARV, Azuma na Powercef

Wauza mechi hiki kipindi cha baridi msisahau kununua ARV, Azuma na Powercef

YE67NBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
15,155
Reaction score
36,337
Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀

Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa.

Na kama mnavyojua miili yetu, baridi ikiingia akili na mwili hutafuta joto na hilo joto lenyewe, hupatikana sehemu za siri huko😋

Sasa basi wale wazee wakutafuna vipapa bila tahadhari onyo kwenu.

Kuna wadada kwa wakaka wana malengo ya kuambukiza watu UKIMWI walionao ili wawaunge kwenye gridi ya taifa asee hali ni tete.

Kuweni makini nyie watu mwaka jana tulizika jirani yetu chuga huko kisa ngwengwe.

Mi nakuja kuwataadhari tu mapema kama we mzima wa afya AVOID, AVOID, AVOID kuuza mechi.

Nikiona mtu anakuja kulalamika humu sijui kapewa Gono, UKIMWI, Kaswende, UTI na midudu mingine mi ntakucheka kaa fala 🤣

Na ntakupondea juuu.

Mimi personally mwezi huu anasa yangu ni bolingo tu, nawakaribisha nyote tucheze.

185054.png



bd6eb7e93891ef9dc8077811accee005.png
 
Waambie waache uzinzi wazini na wapenzi wao.
 
Waambie waache uzinzi wazini na wapenzi wao.
Mi nangoja waanze kujiliza liza tena humu, 🤣🤣🤣🤣


Makubwa jinga, kabisa
 
Back
Top Bottom