CHIEF MKWAWA naomba msaada wa kuniambia ni simu gani nzuri ninayoweza pata kwa 300,000 ambayo ni 5inches ...
Note 1 xperia z used
Ipo not1Oya nahitaji note 3 ama I phone 5s gold my offer 450k
Natafuta sim ndogo ya tochi ya kawaida tu.Kama uko nayo naomba uni-PM tafadhadhali.Niko Dar.
Mkuu vp mambo! Nna Samsung galaxy s4 zoo
Mkuu vp mambo! Nna Samsung galaxy s4 zoo
Mzigo mzuri sana
IPhone 5 black 32gb 500,000tsh
Nahitaji iphone 6, budget laki 8 au iphone 6 plus budget laki 9. Anayeuza kwa bei hizo anipm plz