TUPEANE UKWELI KDG LEO HUMU,
Unaweka tangazo lililojitosheleza na kuomb kbsa "alie serious tu ndio aje PM" miguu mirefu anakuja PM Anaaza kukuchatisha weee, mpk unakua bored ila unamjibu kila swali kistaarabu kama mwanaume na kama biashara, akitosheka na maelezo na akikosa tena swali from nowhere tu anapotea bila taarifa, halaf unamwona kwenye wall anachat/comment na midole yake kama mafungu ya tangawizi,
mwingne ashakutia njaa ya kumjb halaf anajib tu "POA" ahhhggggg.....
Mwingne anaweka tangazo na bei kwenye wall, unamfuata PM mmalizane anapandisha bei, au a mute,
Binafsi hua sibembelazagi, ukiniuliza nitakujb, ukikaa kimya nitakaa kimya, sio mtu yupo kimya et na wewe unamuza tena "mbn kimya?", yote kwa yote kwa nini unichoshe ikiwa huna mpng wa kufanya biashara? Au si ufunguke tu kama "sifanyi biashara ila kuna vitu nataka kufaham" halaf uage usepe!, Mwanaume mzima na kidevu kama ukoko wa pilau ya Dua unamjb me mwenzio "POA" kwa maelezo maref halaf unapotea? Mwingne anajua kbsa hata ukimwambia "nakupa hii bidhaa bure njoo uchukue" nauli ya kujia hana lakn miruzi ming kumbe mbwa hana,
halaf nimegundua ukiona maswali maswali mengi ujue hamna kazi hapo ni mapicha picha na ukiona anayeponda bila fact ujue hana hela moyo umetanuka amejaa stress,
Tuache tamaaa, huna hela kaa kimya ipo siku utapata, Mtu kafika bei Muuzie sio masuala ya kubadilisha price tag,
Tuweni serious sio kila sehem tunaleta futuhi
Mwisho kbsa, epuka kubadilishiana namb na mtu humu kama hamjafikia makubaliano ya kufanya biashara, sio mshapeana mawasiliano halaf ndio mnashindwana,
Za kuambia changanya na zako