Wauza smartphone tukutane hapa

Sipo tz hata sijui kama imefika

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kucheki Jumia, sijaona lakini jinsi Huawei walivyotanda kwenye kona za Dar, nina uhakika zitawepo tu! Hata hivyo, nitaangalia alternative nyingine hata kama zipo! Halafu nimevutia zaidi na 8x Max, hususani kutokana na screen size yake pamoja na battery!
 
Zinahitajika hizi simu mpyaa, kama unajua duka gani naweza pata waweza nijuza, maduka meng wanauza refublished au mtumba

Samsung A3 2016 na
Samsung A5 2016.

NOTE: SEALED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…