Wauza smartphone tukutane hapa

Kwa maelezo ya awali nimekupata...hayo ya pili nafikir unamanisha hivyiView attachment 1064800View attachment 1064801
very big YES, hicho ndio nilichokua namaanisha, kwa picha hii moja tuu unagundua, hio simu ni refub, mtumba na unlocked US,
huwezi ukakuta samsung imeaandikwa kama hivyo Galaxy s9+ halaf hapo juu hio model iwe F/DS labda accidentialy, lazima ukute km hvyo U,although unlocked za U models ni afadhari kuliko T, V n.k
 
Sasa hiz ambazo ni za kweli ntazipata wapi mana kuna ufaham nataka nijitoe ndy mana naulizia kabla ya.....hlf na bei yake mana hiyo niliyopost S9 plus wanauza 1.45M na wengn nimechek wanauza 1.35M
 
Aseee nimeipata
 
Asante nimepata somo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya kuflash simu au unapumbaza uma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya kuflash simu au unapumbaza uma?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa bahati nzuri nipogo makini sana, hakuna sehemu nimezingumzia maana ya ku flash simu, ila nilichosema n 'huku kwetu unlocked ndio tunasema zilizofalshiwa' kusema kitu haimaanishi upo sahihii, mara ngapi unakutana
/unaskia mtu anasema nataka nika flash hii simu yangu isome laini zote? Haya yalikua maneno ya kawaida sana hapo nyuma kdg watu walivyokua wananunua zile simu za promotions za voda au tigo, hii haimaanish wapo sahihi maana ukweli ni ku unlock, tena specificaly carrier unlock, lakini ushawahi sikia mtu akisema nataka nika unlock simu yangu? Hii ni kwa sbb halijazoeleka huku futuhi land, na chanzo ni mafundi wetu ambao wengi wakishaunganisha simu na pc tuu basi wanaita ku flash,

Mwisho tumia lugha nzuri ndugu hutapungukiwa chochote, akhsante
 
Ok sorry kwa lugha chafu, lakini nilikuwa najaribu kutafuta uhusiano kati ya simu iliyo flashiwa na signal strength. Ila kuhusu simu unazosemea zipo nimekutana nazo nyingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimbembe cha kuflash!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…