Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0746510577
Inawezekana kama una mtu huku anakagua alaf inatumwa kwenye bus mkuuNipo kilimanjaro nahis haitawezekana
Sent using boeing 737 max8
Solution ni kubadili ImeiMkuu naomba unipe somo kidogo simu yangu iliflashiwa lakini baada yay hapo ikawa inaandika emergency calls only yaani sipigi sim wala kuwasha data, niifanyeje, Samsung J7 pro
Sent using Jamii Forums mobile app
very big YES, hicho ndio nilichokua namaanisha, kwa picha hii moja tuu unagundua, hio simu ni refub, mtumba na unlocked US,Kwa maelezo ya awali nimekupata...hayo ya pili nafikir unamanisha hivyiView attachment 1064800View attachment 1064801
Hahaaha mkuu kumbe hii ishu ni wengi...ndy mana alivyoelezea hapo, nimemuelewa sanaYangu model SM-G920T halafu Inasoma 4g muda wote laini yoyote hata nikiwa sehemu ambayo hakuna 4g
Sasa hiz ambazo ni za kweli ntazipata wapi mana kuna ufaham nataka nijitoe ndy mana naulizia kabla ya.....hlf na bei yake mana hiyo niliyopost S9 plus wanauza 1.45M na wengn nimechek wanauza 1.35Mvery big YES, hicho ndio nilichokua namaanisha, kwa picha hii moja tuu unagundua, hio simu ni refub, mtumba na unlocked US,
huwezi ukakuta samsung imeaandikwa kama hivyo Galaxy s9+ halaf hapo juu hio model iwe F/DS labda accidentialy, lazima ukute km hvyo U,although unlocked za U models ni afadhari kuliko T, V n.k
hahaaaa mzeee hio itakua fambaa/copy km ni kweli,Yangu model SM-G920T halafu Inasoma 4g muda wote laini yoyote hata nikiwa sehemu ambayo hakuna 4g
Hapa hapa bongo...zipo za hadi 2+. Hiyo ni Apple watch series 3. Hii ni series 4..1.5MInauzwa wapi
Aseee nimeipatavery big YES, hicho ndio nilichokua namaanisha, kwa picha hii moja tuu unagundua, hio simu ni refub, mtumba na unlocked US,
huwezi ukakuta samsung imeaandikwa kama hivyo Galaxy s9+ halaf hapo juu hio model iwe F/DS labda accidentialy, lazima ukute km hvyo U,although unlocked za U models ni afadhari kuliko T, V n.k
nimeona hapo kwenye model SM-G928T, siku nyingne ukiona samsung yyt inayoishia na herufi tofauti na F/DS mf SM-G928F/DS au haina heruf nyuma ni namba tu kimbia, mf SM-G9280, ujue unauziwa unlocked na mtumba iliyotumika kwa angalau 2 yrs, na shida yake kubwa inakua kwenye network, unaweza usigundue kama upo sehem yenye network nzur , ila ukienda sehem yenye shda kdg tu ya network yako itasumbua ila nyingne zitapga kazi,
kwa ufup ni zile simu ambazo kwa huku bongo tunasema zimeflashiwa, au kwa lungha nyingne ni kama zile simu zinazouzwa kwa promotions na tigo ambapo lain lazima iwe ya tigo/inasoma tigo tu, sasa ili utumie lain za mitandao yote unaenda kwa wajanja wanaiflash,
kimbembe cha ku flash simu najua weng tunakifaham,
Hivyo epuka simu zinazmishia na heruf kama T, V, AT&T n.k hizo herufi ni majina ya zile kampuni za simu zilizoingia ubia na samsung: T- for T-mobile, V- for Verizon, AT&T- for american telephone and telegram.
pili epuka samsung yoyote ambayo imeandikwa jina kwa nyuma chini mf galaxy s6+ tofaut na neno samsung kwa nyuma juu, inatakiwa juu kue na neno samsung, chini kue na info za simu kwa maandisi madogo mf model(na hapa ndio unatakiwa ujue ile model kama ni hayo ma T, au F/DS) imei n.k au kama ni lain mbili watakuandikia neno DUOS juu ya hayo maandish madogo, kwaio ukiona tofaut na hvyo kimbia, na pia kama hakujaandikwa chochote kbsa pia anza kutumia akili yako vzr.
Mara nying refubs ndio zinakua na haya mapicha picha.
Sina ndugu ukoInawezekana kama una mtu huku anakagua alaf inatumwa kwenye bus mkuu
4G ya kuchora. Ili uone speed harali. Nenda settings... about... status... sim status... network type... utaona ni wcdma au edge au lteYangu model SM-G920T halafu Inasoma 4g muda wote laini yoyote hata nikiwa sehemu ambayo hakuna 4g
Sio kubadiri. Ni kurestore orginal imeiSolution ni kubadili Imei
Ukaripoti polisi utapewa kibali utakachoenda nacho kwa fundi
Unajua maana ya kuflash simu au unapumbaza uma?nimeona hapo kwenye model SM-G928T, siku nyingne ukiona samsung yyt inayoishia na herufi tofauti na F/DS mf SM-G928F/DS au haina heruf nyuma ni namba tu kimbia, mf SM-G9280, ujue unauziwa unlocked na mtumba iliyotumika kwa angalau 2 yrs, na shida yake kubwa inakua kwenye network, unaweza usigundue kama upo sehem yenye network nzur , ila ukienda sehem yenye shda kdg tu ya network yako itasumbua ila nyingne zitapga kazi,
kwa ufup ni zile simu ambazo kwa huku bongo tunasema zimeflashiwa, au kwa lungha nyingne ni kama zile simu zinazouzwa kwa promotions na tigo ambapo lain lazima iwe ya tigo/inasoma tigo tu, sasa ili utumie lain za mitandao yote unaenda kwa wajanja wanaiflash,
kimbembe cha ku flash simu najua weng tunakifaham,
Hivyo epuka simu zinazmishia na heruf kama T, V, AT&T n.k hizo herufi ni majina ya zile kampuni za simu zilizoingia ubia na samsung: T- for T-mobile, V- for Verizon, AT&T- for american telephone and telegram.
pili epuka samsung yoyote ambayo imeandikwa jina kwa nyuma chini mf galaxy s6+ tofaut na neno samsung kwa nyuma juu, inatakiwa juu kue na neno samsung, chini kue na info za simu kwa maandisi madogo mf model(na hapa ndio unatakiwa ujue ile model kama ni hayo ma T, au F/DS) imei n.k au kama ni lain mbili watakuandikia neno DUOS juu ya hayo maandish madogo, kwaio ukiona tofaut na hvyo kimbia, na pia kama hakujaandikwa chochote kbsa pia anza kutumia akili yako vzr.
Mara nying refubs ndio zinakua na haya mapicha picha.
kwa bahati nzuri nipogo makini sana, hakuna sehemu nimezingumzia maana ya ku flash simu, ila nilichosema n 'huku kwetu unlocked ndio tunasema zilizofalshiwa' kusema kitu haimaanishi upo sahihii, mara ngapi unakutanaUnajua maana ya kuflash simu au unapumbaza uma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok sorry kwa lugha chafu, lakini nilikuwa najaribu kutafuta uhusiano kati ya simu iliyo flashiwa na signal strength. Ila kuhusu simu unazosemea zipo nimekutana nazo nyingi sana.kwa bahati nzuri nipogo makini sana, hakuna sehemu nimezingumzia maana ya ku flash simu, ila nilichosema n 'huku kwetu unlocked ndio tunasema zilizofalshiwa' kusema kitu haimaanishi upo sahihii, mara ngapi unakutana
/unaskia mtu anasema nataka nika flash hii simu yangu isome laini zote? Haya yalikua maneno ya kawaida hapo nyuma kdg watu walivyokua wananunua simu za voda au tigo, hii haimaanish wapo sahihi maana ukweli ni ku unlock, tena specificaly carrier unlock.
Mwisho tumia lunga nzuri ndugu hutapungukiwa chochote
Kimbembe cha kuflash!!!!!!nimeona hapo kwenye model SM-G928T, siku nyingne ukiona samsung yyt inayoishia na herufi tofauti na F/DS mf SM-G928F/DS au haina heruf nyuma ni namba tu kimbia, mf SM-G9280, ujue unauziwa unlocked na mtumba iliyotumika kwa angalau 2 yrs, na shida yake kubwa inakua kwenye network, unaweza usigundue kama upo sehem yenye network nzur , ila ukienda sehem yenye shda kdg tu ya network yako itasumbua ila nyingne zitapga kazi,