The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Ahsante.....itabd nikikaa vizur nifany mpango kupitia amazonila nachojua ebay quality is not guaranteed ...picha na actual thing vinaweza vikawa tofaut
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mara nyingi makampuni mengi ya simu hayauzi kwenye website zao bali wanakuwa na official store kwenye hizi online market kama Amazon, Bestbuy, Newegg, AliExpress, and so on.Sawa...vp je ukiagiza moja kwa moja kupitia website ya kampuni ya simu husika, huko c uchakuz naona utakua umepungua sana? Kwan kunaweza kua na changamoto yyt hapo?
Nimekuelewa...kwahy mfn uki- fungua ile link ya "buy now", na ile simu ikawa kweny online store mfn bestbuy, hapo uhakika wa kupata original ni mkubwa zaidi mana c link itatokea kweny web ya kampun ya simu?Mara nyingi makampuni mengi ya simu hayauzi kwenye website zao bali wanakuwa na official store kwenye hizi online market kama Amazon, Bestbuy, Newegg, AliExpress, and so on.
Kabisa!Nimekuelewa...kwahy mfn uki- fungua ile link ya "buy now", na ile simu ikawa kweny online store mfn bestbuy, hapo uhakika wa kupata original ni mkubwa zaidi mana c link itatokea kweny web ya kampun ya simu?
Kabisa!
Nimeshaenda na nimeshajaribu had kuwasiliana nao hao samsung!! Wale wana Unazi mmoja tu; wanauza vitu ghali sana bhnamkuu sio kama nakukatisha tamaa ila unaweza fanya research pia ....transport na ushuru znaweza zikakushangaza za ivo vitu ....genuine products zipo sehemu nying tu .....ila ukitaka 100% new bora uende samsung stores au apple stores maana usije ukawa unajaribu kukwepa gharama na mwishowe TRA wakakurudisha pale pale
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio nini hki tena we mrembo?Soral 5 YA STARTIMES 200000
Sijajua kama utaratibu wa kod upo...lakin bora hiv hlf unapata og kabsaTRA kama skosei kwa izo cm wanaweza kukucharge 21% upo tayar ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shling ngpIphone 6s plus 16GB zinauzwa
kwenye uhitaji anicheki PM
location DSM
Inategemeana umeagiza kwa njia gani na plan gani, kuna baadhi ya njia ukitumia hakuna kulipia customs duty wala VAT.TRA kama skosei kwa izo cm wanaweza kukucharge 21% upo tayar ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mfano njia ipi tujuzeInategemeana umeagiza kwa njia gani na plan gani, kuna baadhi ya njia ukitumia hakuna kulipia customs duty wala VAT.
400,000Shling ngp
😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
Unajua hadi unakera. Just kidn nyuzi zako nishule tosha bro keep it upTufahamu hivi,... Kuna seller refurbished na manufacturer refurbished. Sasa nyingi zinazoletwa na wafanyabiashara wa TZ ni seller refurbished, simu inakuwa imepungua ubora wa hardware kwa zaidi ya asilimia thelathini.
Mfano: Hutolewa battery halisi na kuwekwa battery ambalo sio original kitu ambacho kinaweza kupelekea simu kutokutunza chaji kama ile brand new.
Hardware ubadilishwa baadhi ya vifaa na kupekekea kupungua ubora. Mf: simu inabalishwa housing na inawekwa housing isiyokuwa na watertight seals, na kupelekea kuondoa umadhubuti kwa simu yenye IP Certified Waterproof & Dustproof.
Cha niongeza,... Kweli, kwa nchi zilizoendelea refurbished phone zipo ila ni zile manufacturer refurbished ambazo ni kama mpya kwa asilimia 90
Ahsante.
dah! hili bokoHaina shida yeyote.. nipo mbeya
Kwa kuangalia tu hii ni ndefu au fupi? Hii ilikuwa kwenye box pamoja na nokia e5mzee ni nzima na og zile ndefu, mana kuna fake nimezikuta k.koo zimegoma kusoma
J1 ya miaka 3 iliopita hupati mtu mkuu. Lazima tuwe wakweli hapo. Kwanza kioo kinacracks/scratches za kufa tembo. Pili display yake ni ndogo sana kwa mtu kuvutiwa nayo wakati kwa hiyo bei mtu anapata itel/tecno yenye display kubwa. Pia hiyo simu ina internal storage ya 8gb!! Kwa maisha ya sasa, lowest storage ni 16 gb.Nauza 150,000/=Samsung j12016 iko vizuri tu nakupa na chaji yake nipo dar tabata Segerea no 0657438581
Picha nimeambatanisha hapo chiniView attachment 1067344View attachment 1067345View attachment 1067346
J1 ya miaka 3 iliopita hupati mtu mkuu. Lazima tuwe wakweli hapo. Kwanza kioo kinacracks/scratches za kufa tembo. Pili display yake ni ndogo sana kwa mtu kuvutiwa nayo wakati kwa hiyo bei mtu anapata itel/tecno yenye display kubwa. Pia hiyo simu ina internal storage ya 8gb!! Kwa maisha ya sasa, lowest storage ni 16 gb.
Tazama upya bei yako uje unadi biashara yako mkuu.
Kila la kheri
Sent from my SM-J700F using Tapatalk