Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Iphone 6s plus 16GB zinauzwa

kwenye uhitaji anicheki PM
location DSM
 
Sawa...vp je ukiagiza moja kwa moja kupitia website ya kampuni ya simu husika, huko c uchakuz naona utakua umepungua sana? Kwan kunaweza kua na changamoto yyt hapo?
Mara nyingi makampuni mengi ya simu hayauzi kwenye website zao bali wanakuwa na official store kwenye hizi online market kama Amazon, Bestbuy, Newegg, AliExpress, and so on.
 
Mara nyingi makampuni mengi ya simu hayauzi kwenye website zao bali wanakuwa na official store kwenye hizi online market kama Amazon, Bestbuy, Newegg, AliExpress, and so on.
Nimekuelewa...kwahy mfn uki- fungua ile link ya "buy now", na ile simu ikawa kweny online store mfn bestbuy, hapo uhakika wa kupata original ni mkubwa zaidi mana c link itatokea kweny web ya kampun ya simu?
 
mkuu sio kama nakukatisha tamaa ila unaweza fanya research pia ....transport na ushuru znaweza zikakushangaza za ivo vitu ....genuine products zipo sehemu nying tu .....ila ukitaka 100% new bora uende samsung stores au apple stores maana usije ukawa unajaribu kukwepa gharama na mwishowe TRA wakakurudisha pale pale

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimeshaenda na nimeshajaribu had kuwasiliana nao hao samsung!! Wale wana Unazi mmoja tu; wanauza vitu ghali sana bhna
 
Tufahamu hivi,... Kuna seller refurbished na manufacturer refurbished. Sasa nyingi zinazoletwa na wafanyabiashara wa TZ ni seller refurbished, simu inakuwa imepungua ubora wa hardware kwa zaidi ya asilimia thelathini.
Mfano: Hutolewa battery halisi na kuwekwa battery ambalo sio original kitu ambacho kinaweza kupelekea simu kutokutunza chaji kama ile brand new.

Hardware ubadilishwa baadhi ya vifaa na kupekekea kupungua ubora. Mf: simu inabalishwa housing na inawekwa housing isiyokuwa na watertight seals, na kupelekea kuondoa umadhubuti kwa simu yenye IP Certified Waterproof & Dustproof.

Cha niongeza,... Kweli, kwa nchi zilizoendelea refurbished phone zipo ila ni zile manufacturer refurbished ambazo ni kama mpya kwa asilimia 90

Ahsante.
Unajua hadi unakera. Just kidn nyuzi zako nishule tosha bro keep it up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Galaxy s6 edge.
3GB ram
32GB rom
7.0 os version
Bei ni 280k sababu ina crecks kidog kwa juu kulia.
Nicheck 0763976109. Location ni Tabata Bima
IMG-20190409-WA0009.jpeg
IMG-20190409-WA0011.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza 150,000/=Samsung j12016 iko vizuri tu nakupa na chaji yake nipo dar tabata Segerea no 0657438581
Picha nimeambatanisha hapo chini
IMG-20190409-WA0006.jpeg
IMG-20190409-WA0005.jpeg
IMG-20190409-WA0003-1.jpeg
 
Nauza 150,000/=Samsung j12016 iko vizuri tu nakupa na chaji yake nipo dar tabata Segerea no 0657438581
Picha nimeambatanisha hapo chiniView attachment 1067344View attachment 1067345View attachment 1067346
J1 ya miaka 3 iliopita hupati mtu mkuu. Lazima tuwe wakweli hapo. Kwanza kioo kinacracks/scratches za kufa tembo. Pili display yake ni ndogo sana kwa mtu kuvutiwa nayo wakati kwa hiyo bei mtu anapata itel/tecno yenye display kubwa. Pia hiyo simu ina internal storage ya 8gb!! Kwa maisha ya sasa, lowest storage ni 16 gb.

Tazama upya bei yako uje unadi biashara yako mkuu.
Kila la kheri

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Hiyo itel kamanda unadhani inaweza lingana na hii anyway, hii biashara huria na kila mtu ana panga bei kulingana na yeye mwenyewe
anavyo hitaji

Back
Top Bottom