mzee hizi zenyewe hope hazitofautiani na hiziKwa kuangalia tu hii ni ndefu au fupi? Hii ilikuwa kwenye box pamoja na nokia e5View attachment 1067351View attachment 1067352View attachment 1067353
Sent using My Xiaomi Redmi 4a
Samsung za low end budget hazitofautiani saaaana na hao akina itel kwa hiyo price range. Tena wakuta kwa specifications, itel akawa juu.Hiyo itel kamanda unadhani inaweza lingana na hii anyway, hii biashara huria na kila mtu ana panga bei kulingana na yeye mwenyewe
anavyo hitaji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Sent using being 737 max8Nipo kilimanjaro nahis haitawezekana
Sent using boeing 737 max8
mkuu izo ni kwa simu zote model yoyote ...na zinauzwa kote nchini
wauzaji tunaogopa kusema ilo neno kwa sababu wateja mnapata maana isio nzuri ndio maana tunasema mpya
ila ni simu nzuri hazina matatizo ...zina warranty ..sticker ile ni kwa ajili ya warranty
kingine znauzwa dunia nzima hadi wamarekani wananunua huku hizo ...australia ...European countries ukija china unaweza prove io
point nyingne why we sell refurbished phones
ni kwasababu ni nafuu compared na brand new kwenye specific stores ivo
kama kwenye magari tu tunavyonunua ex japanese coz ni nafuu kuliko gari ya pale TOYOTA Tanzania ivo tu mkuu hope itawasaidia weng
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nauza simu SAMSUNG GALAXY S8+
Nipo mwanza +255768683021
"Enough of No Love"
Laki 500,000/=
Njoo na 350k nikupe Y5 Prime 2018 king'ast kabisa full boxNahitaji Huawei mate 10 pro
Mwenye nayo aniambie ni sh ngapi tufanye biashara
In God we trust
Ndio, weka picha na bei!Kuna Raia anatafuta hizi classical phone's
-BlackBerry Bold 9900
-BlackBerry Q10
(Used)
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Sent using being 737 max8
Sent using smatskills group on telegram
Teh teh teh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Sent using being 737 max8
Sent using smatskills group on telegram
Inategemeana umeagiza kwa njia gani na plan gani, kuna baadhi ya njia ukitumia hakuna kulipia customs duty wala VAT.