mkuu izo ni kwa simu zote model yoyote ...na zinauzwa kote nchini
wauzaji tunaogopa kusema ilo neno kwa sababu wateja mnapata maana isio nzuri ndio maana tunasema mpya
ila ni simu nzuri hazina matatizo ...zina warranty ..sticker ile ni kwa ajili ya warranty
kingine znauzwa dunia nzima hadi wamarekani wananunua huku hizo ...australia ...European countries ukija china unaweza prove io
point nyingne why we sell refurbished phones
ni kwasababu ni nafuu compared na brand new kwenye specific stores ivo
kama kwenye magari tu tunavyonunua ex japanese coz ni nafuu kuliko gari ya pale TOYOTA Tanzania ivo tu mkuu hope itawasaidia weng
Sent from my iPhone using JamiiForums