TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
Kiufupi sina njaaAcha Njaaa mkuu...
Hutatoboaa.....
Hawa jamaa wanakuletea busara Lkn unajitia pambaa...
Sasa mm nanunua hizi kesii....
Weww jamaaa
HUJUI BIASHARA ACHA MANENOOO....
Lol see this stupid nauzia wapi?? Ahahhahaahahah sasa mwenye stress ni nani hapa?? Fanya kazi mzee huna stress pesa ndio huna.Wewe Nishakujaga Dukani unapouza...
Hilo duka sio Lako...
Hata bei mpk umuombe Boss akikubali kupubguza ndio uuze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Mkuu acha utani kanjibai akiona Unachomfanya atakuachisha kazi uuze alkasusu
Mkuu si useme tuu humu wewe.....(Nashindwa kutaja jina lako kwa sheria za jf) ni Dalali watu wajue...Kiufupi sina njaa
Biashara najua toka niko kitoto.
Afu tafuta suluhisho la tatizo la kupanick na hasira.
Mzee mm nakuahidi tuu Kesi zako Za majibu ya shombo Zote kuanzia sasa nitanunua mm....Lol see this stupid nauzia wapi?? Ahahhahaahahah sasa mwenye stress ni nani hapa?? Fanya kazi mzee huna stress pesa ndio huna.
Hujawahi kuja, na hatujawahi onanaMkuu si useme tuu humu wewe.....(Nashindwa kutaja jina lako kwa sheria za jf) ni Dalali watu wajue...
Kua dalali sio shida.....
Ila tatzo Ni kutaka cha juu kupitiliza na Malugha ya Kitoto....
Mm nilishapona sasa nataka Nikusaidie na wewe maana naona unateseka sanaa....
Mkuu Hali ikizidi Mda mwingne unakunywa maji.....
Wewe sio boss bana acha Kujipaisha hapaaa...Hujawahi kuja, na hatujawahi onana
Udalali nishafanya mbona nakubali. Yanini kuandikia mate njoo napouzia simu uongee na boss.
Mkuu jossiest....
Mbuna hujibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikaa kimya Roho inaniuma Boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka ujibu shomboo...
Aya jamani nina 50,000/= utanipa simu gani inayosapot whatsapp,instagram,viber pia iwe na 3G
Napatikana dar es salaam
Galaxy note 3 32gb storage,3gb Ram
Inashida ya screen tu,Ilianguka,inawaka screen ikiwa haionyeshi,inaita ikipigiwa,IPO kwenye hali nzuri
50k tu nakuachia....IMG-20191227-WA0004.jpeg
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nakuomba Usiache kunijib mkuu....Boss nakujibu kwa mara ya mwisho, siwezi ajiriwa na mhindi kitambo nafanya maisha, udalali nimefanya nimeuza vioo na rims za. Magari.
Njoo dukani boss uongee na mwajiri wangu maana umeanza hadi kuleta mambo ya facebook hata mara ya mwisho kutumia sijui ni lini.
Familia yes nimezaliwa kwenye familia ya wafanya biashara najua lugha na jinsi ya kumfanya mteja anunue bidhaa. Sio kwamba najigamba hapa.
Nipo hapa kitambo natengeneza pesa,
Aya kukusaidia tu jamaa angu jina langu official ni Joseph James
Facebook nilisajili Jossiest Carson Jr kaangalie mara ya mwisho lini nimetumia mwisho njoo nikufundishe hata kutengeneza 10,000 kwa siku ujinga utakuisha maana unachozusha hapa ni umbea kama wa kike.
Maisha kwangu ni kupanda na kushuka hasa kwa rijali yoyote wanaelewa, kuna kipindi nimemaliza chuo nilikua desperate kuwa na pesa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nakuomba Usiache kunijib mkuu....
Umekua rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Mkuu sasa unadai umekulia familia ya kibiashara, kwa nn usisimamie biashara za kifamilia unataka za jf....?
Mwenye kuhitaji msimamizi me niko tayari au biashara yoyote unataka kuanzisha nipo tayari kuwa sehemu ya biashara
Mkuu hilo sio Jina lako kua mkweli mkuu....
M nakujua vzr......
Kua dalali sio shida, kukosa pesa sio shida....
Hayo ni mambo ya mda tuu maisha yanabadilika....
Inshu ni pale unapoleta ujanja ujanja na Makuzi.....
Hapa kuna watu wanamaisha mazuri wanakuchora tuu wanacheka.....
Halaf wewe ni mtu mzima kbsa mkuu....
Mkuu jitahd ujibu kwa mda ili uzi uchangamke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Mkuu umeshakula?
Hapa umekutana na
TEMPER CONTROLAR...
Naona Unakuja taratibu....
Lengo langu upone jamaa yangu..
Maan hata mm nilikua hivyo boss
Sina nia mbaya......
M ni rafiki yako jamaa hujui tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UPDATE....
Sasa mkuu unakaza hapa halaf unanifuata PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You're so desperate to ride this dick bitch ass.Jamaa yangu jossiest njoo Basi uzi unapooza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unifate tena?? Wakati umeleta mrejesho nimekuja PM?? Clout chaserJamani huyu mtu jossiest akijibu shombo humu au akileta bei isiyo elekezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba mni quote.....
Naona karudisha mpira kwa kipa......
Nina hamu naye....
Ngoja nimfuate PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]