TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
Hata Kabla ya wewe kuwaza kuacha chuo ukopeshe me nipo mtaani napambana.Jiajiri hata kwa kidogo ulichonacho..kutaja boss bila aibu na hayo majibu yako unatutisha sana, boss wako anakupa kiburi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv we ni mzima kweli?Kwa mteja yoyote mwenye mashaka na mimi hizi ni info zangu
Joseph James
0714 036595
Sinza Madukani, Msikitini street.
Ahahhahahahahahahaha good genes. Njoo nikumimbe.Hiv we ni mzima kweli?
Mwanaume una lips na kope tena nyeusi tiiiii!!!!
Nina mashaka!
Na bado uko chini ya boss wako[emoji23][emoji23][emoji23] unajivunia kabisa daah..Hata Kabla ya wewe kuwaza kuacha chuo ukopeshe me nipo mtaani napambana.
Wewe bado dogo sana kwangu, nishashuhudia watu kama wewe wanavojikweza. Ukihitaji msaada nicheki 0714 036595.Na bado uko chini ya boss wako[emoji23][emoji23][emoji23] unajivunia kabisa daah..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sna shda na ww, nina shida na jinsi unavyowajibu watu kama una kisiran nao, kwann usijibu vzur tu, alaf kumbe ni kijakazi tu sio bure utakuwa unaingizwa jeuri na mtu..iwe nyuma ya pazia au popote. Jifunze kuheshim watu,.Wewe bado dogo sana kwangu, nishashuhudia watu kama wewe wanavojikweza. Ukihitaji msaada nicheki 0714 036595.
Dogo narudia tena nitafute nikusaidie unaweza kuwa mfanyakazi wangu.Mimi sna shda na ww, nina shida na jinsi unavyowajibu watu kama una kisiran nao, kwann usijibu vzur tu, alaf kumbe ni kijakazi tu sio bure utakuwa unaingizwa jeuri na mtu..iwe nyuma ya pazia au popote. Jifunze kuheshim watu,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafta kupigwa [emoji533][emoji533] kwa lazma et, wacha tuunde credible process utazama tu king.Dogo narudia tena nitafute nikusaidie unaweza kuwa mfanyakazi wangu.
Uziananeni simu acheni matambo, haya maisha kibaya zaidi tunawacheki tu na vile mmeanika namba zenyu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpya laki 3 na nusu mkuuWakuu nataka iPhone 6 32 gb
Nikiwa na 300000 ntapata?
Nipo iringa.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iphone 6s plus 64 gb
Silver
100% battery life
Everything work perfect
Price 580k
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jukwaa limekuja kuwa la watoto na wapuuzi mtu kaweka bei wewe unaweka emoji unacheka!!