Wauza smartphone tukutane hapa

Habari wana Jamii.. Nauza simu Yangu ila nayiopenda sana Tecno Camon CX. Bei ni 170,000. Karibuni. Mawasiliano zaidi 0712220207 au 0767173885

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mchongo kabisa mkuu.. napataje haya maujuzi ya kumake10 per day. Msaada mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara imekuja kuwa ngumu hadi watu wazima wameanza post biashara na vichambo juu ahahahahahahahahha.

Genuine 6s na 7 hizo sealed si tunaweka kwa 5,000 + boksi 3000. Unatumia tu 8000 kikubwa mkono uingie mdomoni ila hakuna genuine 5-xsmas zote mafanga.
 
We jamaa mbona simu zako ukiambiwa ukweli unavimba ila za wenzako mishipa inakutoka au unafikiri tumesahau
 
Mwenye uhiataji na simu ya kutumia kwa bei chee ipo hapa.
Htc M8
Tsh: 60,000 tu
Haina tatizo lolote
Unaweza weka nyumbani kama emergency phone
Inquiries: 0714 036595
Location:Sinza madukani.
 

Attachments

  • 9E989B84-73EF-4F6B-AF52-D5D23DE8450A.jpeg
    95.7 KB · Views: 2
  • 270502E2-25CB-45A0-BDBD-C85929E7CB56.jpeg
    108.1 KB · Views: 3
  • EEA0CFF4-4730-4CD3-B8DF-96A31CEAFF93.jpeg
    106.9 KB · Views: 2
HTV VERIZON

GB32
RAM 2GB
SINGLE LINE ( LAINI MOJA)
4G LITE
UBOVU NI CAMERA YA MBELE NA NJIA YA EARPHONE TU NA VINATENGENEZEKA
BEI:LAKI MOJA TU(100000)
LOCATION :TEGETA
CONTACT:0783231177
 

Attachments

  • FB_IMG_15846183578685419.jpg
    128.3 KB · Views: 2
  • FB_IMG_15846183219109166.jpg
    50.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…