Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Habari wana Jamii.. Nauza simu Yangu ila nayiopenda sana Tecno Camon CX. Bei ni 170,000. Karibuni. Mawasiliano zaidi 0712220207 au 0767173885
IMG-20200327-WA0028.jpeg
IMG-20200327-WA0026.jpeg
IMG-20200327-WA0019.jpeg
IMG-20200327-WA0018.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mchongo kabisa mkuu.. napataje haya maujuzi ya kumake10 per day. Msaada mkuu
Boss nakujibu kwa mara ya mwisho, siwezi ajiriwa na mhindi kitambo nafanya maisha, udalali nimefanya nimeuza vioo na rims za. Magari.

Njoo dukani boss uongee na mwajiri wangu maana umeanza hadi kuleta mambo ya facebook hata mara ya mwisho kutumia sijui ni lini.

Familia yes nimezaliwa kwenye familia ya wafanya biashara najua lugha na jinsi ya kumfanya mteja anunue bidhaa. Sio kwamba najigamba hapa.

Nipo hapa kitambo natengeneza pesa,
Aya kukusaidia tu jamaa angu jina langu official ni Joseph James
Facebook nilisajili Jossiest Carson Jr kaangalie mara ya mwisho lini nimetumia mwisho njoo nikufundishe hata kutengeneza 10,000 kwa siku ujinga utakuisha maana unachozusha hapa ni umbea kama wa kike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara imekuja kuwa ngumu hadi watu wazima wameanza post biashara na vichambo juu ahahahahahahahahha.

Genuine 6s na 7 hizo sealed si tunaweka kwa 5,000 + boksi 3000. Unatumia tu 8000 kikubwa mkono uingie mdomoni ila hakuna genuine 5-xsmas zote mafanga.
 
Biashara imekuja kuwa ngumu hadi watu wazima wameanza post biashara na vichambo juu ahahahahahahahahha.

Genuine 6s na 7 hizo sealed si tunaweka kwa 5,000 + boksi 3000. Unatumia tu 8000 kikubwa mkono uingie mdomoni ila hakuna genuine 5-xsmas zote mafanga.
We jamaa mbona simu zako ukiambiwa ukweli unavimba ila za wenzako mishipa inakutoka au unafikiri tumesahau
 
Mwenye uhiataji na simu ya kutumia kwa bei chee ipo hapa.
Htc M8
Tsh: 60,000 tu
Haina tatizo lolote
Unaweza weka nyumbani kama emergency phone
Inquiries: 0714 036595
Location:Sinza madukani.
 

Attachments

  • 9E989B84-73EF-4F6B-AF52-D5D23DE8450A.jpeg
    9E989B84-73EF-4F6B-AF52-D5D23DE8450A.jpeg
    95.7 KB · Views: 2
  • 270502E2-25CB-45A0-BDBD-C85929E7CB56.jpeg
    270502E2-25CB-45A0-BDBD-C85929E7CB56.jpeg
    108.1 KB · Views: 3
  • EEA0CFF4-4730-4CD3-B8DF-96A31CEAFF93.jpeg
    EEA0CFF4-4730-4CD3-B8DF-96A31CEAFF93.jpeg
    106.9 KB · Views: 2
HTV VERIZON

GB32
RAM 2GB
SINGLE LINE ( LAINI MOJA)
4G LITE
UBOVU NI CAMERA YA MBELE NA NJIA YA EARPHONE TU NA VINATENGENEZEKA
BEI:LAKI MOJA TU(100000)
LOCATION :TEGETA
CONTACT:0783231177
 

Attachments

  • FB_IMG_15846183578685419.jpg
    FB_IMG_15846183578685419.jpg
    128.3 KB · Views: 2
  • FB_IMG_15846183219109166.jpg
    FB_IMG_15846183219109166.jpg
    50.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom