Wauza smartphone tukutane hapa


Amini ujue humu sio wote wanauza simu kweli

kuna matapeli pia humu,etu juzi namcheki jamaa flani humu ananiambia tuma ela nikutumie huko huliko hii simu mara bla bla kibao nikamwambia we tafuta wakuwatapeli yaani nikutumie tu Hela nakujua mimi wewe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mc gregor ahsante kwa taarifa ungetoa na ushauli nn kifanyike mfano umepost bidhaa uko dar anaiona mtu yuko dom je asiinunue kisa hakujui au nn kifanyike?

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo utapeli niliouongelea hauna jinsi ya kuuepuka kama utanunua simu mkononi labda usinunie kabisa simu used kwa mtu usiyemjua.
Ata ukisema uandikishane naye utoe copy kitambulisho chake nk blah blah zote ukifika polisi itakusaidia tu kutoka lakini simu watabaki nayo mapot[emoji23][emoji23] na hasara utakuwa ushapata.

Jaribuni kujichanga mnunue simu mpya kwenye boxi dukani upewe na risiti hio ndio njia ya pekee ya kuepuka utapeli huu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
200k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…