Mkuu ni 150000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni 150000
Wachana na uzamani kijana!Kwanini ununue simu kwa mtu usiye mfahamu?
Simu bado ipoTecno camon cm iko vizuri kama unavyoiona hapa, bei 150000
Note: bei hii haipungui wala kuongezeka
Kwanini ununue simu kwa mtu usiye mfahamu?
Polisi wa bongo ni njaa kali sana ndo michezo yao hii sana.
Wakijua wewe ni mtu wa kupakua simu wanakutafta wanakuambia kuna simu hapa au hata wanakuseti uvunje nao( wanakupa simu na hela kidogo) wanachukua simu kubwa zaidi. Mara nyingi huwa ni simuzenye thamani kwanzai millioni moja kwenda juu( x,xmax, 11,11pro na 11 pro max) alafu baadae wanakutafta tena wanajifanya io simu iliibiwa kuna kesi na upelelezi unaendelea blahbhlah kibao do hio simu wanakunyangaanya na pia wanakutia ndani na hela nyingine unawapa wanakula.
Huu mchezo unachezwa sana na mapolisi wa pale osterbay so vijana wenzangu wapammbanaji kuweni makini kamwe usinunue simu kwa mtu usiyemjua au rafiki yako asiyemjua hata deal iwe tamu vipi kuweni makini.
Aluta continua🤝
Sent using Jamii Forums mobile app
Muache abaki hivyo hivyo Afu hawachelewi kuleta uzi humu nimetapeliwaSasa mfano ww jossiest unapo post sim humu unapost kwa unao wajua au ni vp?nashauri bora mngetoa njia rahisi ya kusaidia kuepuka huo utapeli,kila mtu ana post bidhaa humu il watu waione ukivutiwa umtafute.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mc gregor ahsante kwa taarifa ungetoa na ushauli nn kifanyike mfano umepost bidhaa uko dar anaiona mtu yuko dom je asiinunue kisa hakujui au nn kifanyike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani dah unanionea tajiri yangu.Wachana na uzamani kijana!
Sawa tajiri yangu nitafanyaje wakati ndio ushakuwa boss wangu.Kwani hii jf ni ya dar es salama tu kaka Mboni umeongea pumba kwani kila wanauziana humu wanajuana?
Sent using Jamii Forums mobile app
asa kwanini usiuweke hapa ili tunufaike wengi braza0714 036595 Nicheki hapo uaminifu muhimu.
asa kwanini usiuweke hapa ili tunufaike wengi braza0714 036595 Nicheki hapo uaminifu muhimu.
Pia kuweni makini na wale wanosema kuwa wanaonganisha unlimited data kwa 10000 ni uwongo na utapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mc gregor ahsante kwa taarifa ungetoa na ushauli nn kifanyike mfano umepost bidhaa uko dar anaiona mtu yuko dom je asiinunue kisa hakujui au nn kifanyike?
Sent using Jamii Forums mobile app
200kTECNO CAMON 12
ROM: 64GB
RAM: 4GB
CAMERA-NYUMA: 16M+2M+8M tripple camera (Inapiga picha clear sana)
CAMERA-MBELE: 16M (flashlight mbili)
ANDROID: 9 PIE
BATTERY: 4000mAh
BEI: 330,000/= (Mazungumzo yapo)
Mawasiliano:
0765856697 - Normal texts.
+27631679335 - Whatsapp
Simu Ipo kwenye hali nzuri sana bado mpya kabisa (Haina tatizo lolote)
*Unapewa na kila kitu chake.
View attachment 1425761View attachment 1425764View attachment 1425765View attachment 1425766View attachment 1425767