Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Polisi wa bongo ni njaa kali sana ndo michezo yao hii sana.
Wakijua wewe ni mtu wa kupakua simu wanakutafta wanakuambia kuna simu hapa au hata wanakuseti uvunje nao( wanakupa simu na hela kidogo) wanachukua simu kubwa zaidi. Mara nyingi huwa ni simuzenye thamani kwanzai millioni moja kwenda juu( x,xmax, 11,11pro na 11 pro max) alafu baadae wanakutafta tena wanajifanya io simu iliibiwa kuna kesi na upelelezi unaendelea blahbhlah kibao do hio simu wanakunyangaanya na pia wanakutia ndani na hela nyingine unawapa wanakula.

Huu mchezo unachezwa sana na mapolisi wa pale osterbay so vijana wenzangu wapammbanaji kuweni makini kamwe usinunue simu kwa mtu usiyemjua au rafiki yako asiyemjua hata deal iwe tamu vipi kuweni makini.
Aluta continua🤝


Sent using Jamii Forums mobile app

Amini ujue humu sio wote wanauza simu kweli

kuna matapeli pia humu,etu juzi namcheki jamaa flani humu ananiambia tuma ela nikutumie huko huliko hii simu mara bla bla kibao nikamwambia we tafuta wakuwatapeli yaani nikutumie tu Hela nakujua mimi wewe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mc gregor ahsante kwa taarifa ungetoa na ushauli nn kifanyike mfano umepost bidhaa uko dar anaiona mtu yuko dom je asiinunue kisa hakujui au nn kifanyike?

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo utapeli niliouongelea hauna jinsi ya kuuepuka kama utanunua simu mkononi labda usinunie kabisa simu used kwa mtu usiyemjua.
Ata ukisema uandikishane naye utoe copy kitambulisho chake nk blah blah zote ukifika polisi itakusaidia tu kutoka lakini simu watabaki nayo mapot[emoji23][emoji23] na hasara utakuwa ushapata.

Jaribuni kujichanga mnunue simu mpya kwenye boxi dukani upewe na risiti hio ndio njia ya pekee ya kuepuka utapeli huu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno pouvoir 3 Air
Model:Tecno LC6
RAM:1GB
Storage:16GB
Android version:9 pie
Bei:110k
Haina tatizo lolote
IMG_20200423_082454_4.jpg
IMG_20200423_082459_3.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
TECNO CAMON 12

ROM: 64GB
RAM: 4GB
CAMERA-NYUMA: 16M+2M+8M tripple camera (Inapiga picha clear sana)
CAMERA-MBELE: 16M (flashlight mbili)
ANDROID: 9 PIE
BATTERY: 4000mAh

BEI: 330,000/= (Mazungumzo yapo)

Mawasiliano:
0765856697 - Normal texts.
+27631679335 - Whatsapp

Simu Ipo kwenye hali nzuri sana bado mpya kabisa (Haina tatizo lolote)

*Unapewa na kila kitu chake.
View attachment 1425761View attachment 1425764View attachment 1425765View attachment 1425766View attachment 1425767
200k
 
Back
Top Bottom