Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 630
- 1,113
Mkuu naomba unipe somo kidogo simu yangu iliflashiwa lakini baada yay hapo ikawa inaandika emergency calls only yaani sipigi sim wala kuwasha data, niifanyeje, Samsung J7 prokwa iphone kujua ni mpk utaje kbsa ni iphone ngapi, maana wao Models zao nying kama sio zote hawaweki herufi za kuonyesha/tambua zones/carriers mwishoni, zinakua kama A1688, A1668, A1865, A1900 n.k, ila samsung wao models zao karibia zote humalizia kwa herufi mfano SM-G950F/DS, SM-G950T,SM-G950V n.k na ndio inatambulisha kama simu ni free/global/international, factory unlocked, carrier unlocked au locked,
yaani kwa ufupi hapa tunazungumzia zile simu ambazo kibongo bongo tunaita zilizoflashiwa, mfn unanunua simu tigo au voda inaingia laini ya tigo au voda tu, kwaio unaenda ku i flash ili utumie laini zote! NAHISI UNAELEWA MADHARA YAKE?, sasa hizi ndio wanaita carrier unlocked, na piga ua wewe ukiipata lazima iwe ni mtumba, refublished au vyote kwa pamoja, hizi simu hasa samsung na iphones 90% ndio zimejaa k.koo
Sent using Jamii Forums mobile app