Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

S6 edge plus
0768048752
20200316_160643.jpeg
20200316_160632.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza Samsung note 8 kwa laki tano,

Kioo kimepasuka kidogo pembeni kushoto...inafanya kazi vizuri tu

SIM ni Dual na inakubali external memory card..

Contact 0767935050
 
Wana jukwaa kwema......

Kama week 3 nyuma humu nilikua naweza bei za bidhaa, kuna baadhi ya watu walikuja juu bei kubwa, dalali,umeajiriwa na mhindi etc.
Nikawapa jibu moja kwa kipindi hiki bidhaa zinapanda na kama kuna mfanyabiashara ana mzigo store hauzi tena jumla, bado wakabisha.

Basi njoeni mtaani tufanye biashara maana mtaa ndio una majibu mazuri sio JF ikawa kimya.
Jana Dubai wamefunga mipaka yao na hakuna ndege kuingia.....
Dubai ndio ilikua imebaki kwa wafanyabiashara kwenda chukua mzigo.

Tutarajie vitu kupanda bei sana leo simu utaulizia bei unaambiwa 600,000 baada ya siku kadhaa utakuta 1,200,000.

Karibuni mtaani kwenye maisha halisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa yng umerudi tenaa baada ya mhindi kufunga duka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Sasa mkuu wewe unaandika kimya kimya....
Si uniquote kbsa ili nipate notifications[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?
Hamna asiyejua kama mmojawapo ni mimi....

[emoji23][emoji23][emoji23]Acha uongo mzeee.....
SEMA NYIE NDIO MNACHUKULIA MZIGO DUBAI.

Sio wafanyabiashara wote wanachukulia Dubai na china


JAMANI HUYU.....SHABANIIII......
ASIWADANGANYE ili awapige watu...
Nchi nying sanaaa wanauza simuu

KOREA(Hasa mpya)
UK (hasa mtumba)
US (hasa carrier unlocked na mpya)
SA (mtumba)
VIETNAM (Mpya nyingi)
FINLAND (Mpya sana)...
INDIA (Mpya na Used)
THAIWAN,
JAPAN,
CANADA
Na wengine wengi tuuu..
BISHA NIKULETEE STATISTICS HAPA.

Suala la kuadimika bidhaa hilo hakuna anayebisha....Ni kweli.

Ila kusema eti Wafanyabiashara wanachukulia Mizigo DUBAI kwa zaidi
Hizi ni kamba... tena za katani...
Huyo DUBAI hata Hizo simu hatengenezi ni Supplier tuu....

Usitafute justification za kuuza NOTE 5 kwa 600k kwa hii njia...
 
PHONE :iPHONE 7PLUS
CAPACITY: 128GB
BATTERY:100%
COLOUR: ROSE GOLD
CONDITION: CLEAN
PRICE: 700,000
LOCATION: SINZA MADUKANI & KARIAKOO @itechnology
Inquiries: 0714 036595
 

Attachments

  • IMG-20200318-WA0014.jpg
    IMG-20200318-WA0014.jpg
    98.1 KB · Views: 1
  • IMG-20200318-WA0012.jpg
    IMG-20200318-WA0012.jpg
    73.7 KB · Views: 1
  • IMG-20200318-WA0009.jpg
    IMG-20200318-WA0009.jpg
    79.6 KB · Views: 1
PHONE :iPHONE XS MAX
CAPACITY: 64GB
BATTERY: 98%
COLOUR: SILVER
CONDITION: CLEAN
PRICE: 1,750,000
LOCATION: SINZA MADUKANI & KARIAKOO @itechnology
Inquiries: 0714 036595
 

Attachments

  • IMG-20200318-WA0037.jpg
    IMG-20200318-WA0037.jpg
    69.5 KB · Views: 1
  • IMG-20200318-WA0034.jpg
    IMG-20200318-WA0034.jpg
    62.7 KB · Views: 1
  • IMG-20200318-WA0033.jpg
    IMG-20200318-WA0033.jpg
    63.8 KB · Views: 1
  • IMG-20200318-WA0030.jpg
    IMG-20200318-WA0030.jpg
    70.3 KB · Views: 1
  • IMG-20200318-WA0029.jpg
    IMG-20200318-WA0029.jpg
    81.2 KB · Views: 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nakuomba Usiache kunijib mkuu....
Umekua rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],

Mkuu sasa unadai umekulia familia ya kibiashara, kwa nn usisimamie biashara za kifamilia unataka za jf....?

Mwenye kuhitaji msimamizi me niko tayari au biashara yoyote unataka kuanzisha nipo tayari kuwa sehemu ya biashara

Mkuu hilo sio Jina lako kua mkweli mkuu....

M nakujua vzr......

Kua dalali sio shida, kukosa pesa sio shida....
Hayo ni mambo ya mda tuu maisha yanabadilika....
Inshu ni pale unapoleta ujanja ujanja na Makuzi.....



Hapa kuna watu wanamaisha mazuri wanakuchora tuu wanacheka.....

Halaf wewe ni mtu mzima kbsa mkuu....

Mkuu jitahd ujibu kwa mda ili uzi uchangamke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....

Mkuu umeshakula?

Hapa umekutana na
TEMPER CONTROLAR...

Naona Unakuja taratibu....
Lengo langu upone jamaa yangu..
Maan hata mm nilikua hivyo boss

Sina nia mbaya......

M ni rafiki yako jamaa hujui tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


UPDATE....
Sasa mkuu unakaza hapa halaf unanifuata PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂
 
SHABANIIIII[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una mda gani hujachukua mzigo wa jumla?
Baada ya mlipuko wa CORONA VIRUS, ushacheki na agent anaye kupa mzigo??
Afu kingine hii ni biashara ukiona bei yangu juu post bei chini uuze.
Jifunze kuwa na majibu mazuri, hilo tatizo ni la kisaikolojia au wewe sio mwanaume kamili. kila mtu una muattack as if anakuomba nanliuu *

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom