JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 579
- 269
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A20s 450,000Brand new Samsung A20 napata kwa bei gani na wapi.
Wewe Naona sasa Umeongea ukweli.. na bahati nzuri ni Muuza simu.. BIG UP kwa hilo... Nasemaga sana humu...View attachment 1397555
Duka lipo Kariakoo aggrey na likoma
Nauza simu Original tu iPhone utapata simu Used tu
Hakuna iPhone mpya kuanzia iPhone 6 mpaka Xs Max ..
Usidanganyike kuwa kuna iPhone 6 au 6+ au 7 au 7+ mpya hapana hakuna hizo simu zimepitwa na wakati kitambo
Apple kwa Sasa wanatoa simu mpya za iPhone 11 mpaka iPhone 11 Pro Max
Kwa mawasiliano 0652992919
Uaminifu na ukweli ndio Mahala Pake
Insta or FB - Mark Anthorn Original Phones
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Naona sasa Umeongea ukweli.. na bahati nzuri ni Muuza simu.. BIG UP kwa hilo... Nasemaga sana humu...
HUWEZI PATA SIMU YA ANGALAU 3YRS AGO MPYA LEO KIRAHISI, HASA HIZI HIGH END.
Mfn iphone 7 au S7, Hata S8 & S9 yenyewe kupata yenye Original Seal yake utatoka jasho...
Eti mtu unapiga picha simu Umeishika mkononi.. halaf unasema BRAND NEW kisa ina boks na kila kitu chake pembeni...
Hivi Unaelewa maana ya brand new?..
Simu nying HIGH END za miaka ya nyuma...
Haina ubishi Town zimejaa.. refurb na Mtumba,
Hasa hao iphones ambao refurb zao zinawekwa kwenye White cheap boks, Sasa mtu akiona hivyo anadhan ni Mpya....
Biashara ni uwazi.....,Uaminifu
Lugha nzuri na ziada uvumilivu...
Mkuu Simu refurb wanarekebisha vitu km Body, battery na vngne vyenye shida na nje kote ili kuboresha muonekano na ndio maana unaiona km mpya....Mkuu ngoja nikupe mfano mdogo ,mfano mimi nikimpiga chini demu leo halafu wewe ukampata baada ya mimi kumuacha si atakuwa mpya kwako mkuu!!?[emoji851][emoji851]ndio hivyo huwa tunamaanisha kwenye visimu vyetu used
Sent using IPhone X
Eheee....Shukrani kaka nipo kwenye Game miaka 11 sasa kwenye hii biashara wengi sio wakweli kabisa na simu za Refurbished ndio zinazoongoza kusumbua na ubovu wengi wanadanganywa simu mpya Original hakuna kitu na ukipata mfano simu mpya ya note 5 original ni 1.5 Million Sealed yenyewe unakuta unaambiwa Note 5 mpya 400,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshapata mkuu. Niliitafuta sana A20 nikakosa ikabidi nichukue hiyo. Kuna mtu aliniagiza mi maisha yangu yote siwezi tumia Samsung.Hakuna kwa sasa A20
Zipo Samsung A20s Bei yake ni 390,000/= tu nakupa Glass Protector na Cover
Bure
Simu mpya sealed ina warranty 2 years
Contact 0652992919
Insta or FB - Mark Anthorn Original PhonesView attachment 1397543
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu.Nshapata mkuu. Niliitafuta sana A20 nikakosa ikabidi nichukue hiyo. Kuna mtu aliniagiza mi maisha yangu yote siwezi tumia Samsung.
Natafuta kioo cha Oppo F1s
Nipo Dar es salaam
0686133098
Sent from my A1601 using JamiiForums mobile app
Hawajawahi nishawishi uimara wa screen zao. Na muundo wa simu zao nyingi huwa siupendi ukiachana na hizi A series ambazo nazo naziona kama Infinix zilizochangamka.
Kwa hiyo bora hata i phone nazan vioo viko imara?nina s 8 hapa tayal kioo kinaweka msital kwa pembeni mdogo hiv..mafund wanasema mwanzo wa kioo kufa..bei yake inakimbiza mia 190!!huu ndio upuuzi sasa!Hawajawahi nishawishi uimara wa screen zao. Na muundo wa simu zao nyingi huwa siupendi ukiachana na hizi A series ambazo nazo naziona kama Infinix zilizochangamka.
Bi mkubwa ni shabiki wa Samsung, namna ya utunzaji wake ulivyo na simu zake zinavyoharibika screen ndo mpaka kakubali nimbadilishie brand next time.
Hiko kioo kinakufa muda sio mrefu, jipange kutafuta kingine. Wapi kioo cha S8 kinapatikana kwa 190,000?Kwa hiyo bora hata i phone nazan vioo viko imara?nina s 8 hapa tayal kioo kinaweka msital kwa pembeni mdogo hiv..mafund wanasema mwanzo wa kioo kufa..bei yake inakimbiza mia 190!!huu ndio upuuzi sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bora hata i phone nazan vioo viko imara?nina s 8 hapa tayal kioo kinaweka msital kwa pembeni mdogo hiv..mafund wanasema mwanzo wa kioo kufa..bei yake inakimbiza mia 190!!huu ndio upuuzi sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati Ya Toleo la samsung la S-series limepata lawama nyingi...Basi S8 linaongoza.....Hiko kioo kinakufa muda sio mrefu, jipange kutafuta kingine. Wapi kioo cha S8 kinapatikana kwa 190,000?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bi mkubwa simu yake imeweka mistari ya blue na red kwenye kioo, wenzake kazini hivyohivyo, hapa nilipo hivyohivyo. Ngoja sasa hizi folding screen zao lazima watu wajutie hela kupotea kununua simu hizo.Kwa hiyo bora hata i phone nazan vioo viko imara?nina s 8 hapa tayal kioo kinaweka msital kwa pembeni mdogo hiv..mafund wanasema mwanzo wa kioo kufa..bei yake inakimbiza mia 190!!huu ndio upuuzi sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kioo gani utapata kwa 190K!Kwa hiyo bora hata i phone nazan vioo viko imara?nina s 8 hapa tayal kioo kinaweka msital kwa pembeni mdogo hiv..mafund wanasema mwanzo wa kioo kufa..bei yake inakimbiza mia 190!!huu ndio upuuzi sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app