Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Spark 3
New
Clean
190k
0768048752
20200323_200121.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1397555
Duka lipo Kariakoo aggrey na likoma

Nauza simu Original tu iPhone utapata simu Used tu
Hakuna iPhone mpya kuanzia iPhone 6 mpaka Xs Max ..
Usidanganyike kuwa kuna iPhone 6 au 6+ au 7 au 7+ mpya hapana hakuna hizo simu zimepitwa na wakati kitambo

Apple kwa Sasa wanatoa simu mpya za iPhone 11 mpaka iPhone 11 Pro Max

Kwa mawasiliano 0652992919

Uaminifu na ukweli ndio Mahala Pake

Insta or FB - Mark Anthorn Original Phones

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Naona sasa Umeongea ukweli.. na bahati nzuri ni Muuza simu.. BIG UP kwa hilo... Nasemaga sana humu...
HUWEZI PATA SIMU YA ANGALAU 3YRS AGO MPYA LEO KIRAHISI, HASA HIZI HIGH END.
Mfn iphone 7 au S7, Hata S8 & S9 yenyewe kupata yenye Original Seal yake utatoka jasho...

Eti mtu unapiga picha simu Umeishika mkononi.. halaf unasema BRAND NEW kisa ina boks na kila kitu chake pembeni...
Hivi Unaelewa maana ya brand new?..

Simu nying HIGH END za miaka ya nyuma...
Haina ubishi Town zimejaa.. refurb na Mtumba,
Hasa hao iphones ambao refurb zao zinawekwa kwenye White cheap boks, Sasa mtu akiona hivyo anadhan ni Mpya....

Biashara ni uwazi.....,Uaminifu
Lugha nzuri na ziada uvumilivu...
 
Mkuu ngoja nikupe mfano mdogo ,mfano mimi nikimpiga chini demu leo halafu wewe ukampata baada ya mimi kumuacha si atakuwa mpya kwako mkuu!!?[emoji851][emoji851]ndio hivyo huwa tunamaanisha kwenye visimu vyetu used

Sent using IPhone X
 
Mkuu Simu refurb wanarekebisha vitu km Body, battery na vngne vyenye shida na nje kote ili kuboresha muonekano na ndio maana unaiona km mpya....
Ila motherbody/Sacket inabaki ile ile... wewe ikija huku unatumia used, Mpya walitumia wenzako wazungu walioondoa seal wenyewe..

Na sisi waswahili baadhi ndio wanashida....
Kule ukienda stores wasema wazi kbsa hii ni refurb, mpya au used..
Ila zikija futuhi zote ni Brand new....

kwa Huyo demu ni hivyo hivyo....
Body ni mpya ila engine ni Mtumba...
Unakuta imetoka mpk sugu.... bikra waliondoa wenzako wajanja...ila nae akikutana na wewe anakuambia Mm sijawahi chezewa....Kumbe kakata mauno km mnenguaji wa twanga pepeta...

Kupata Simu high end Yenye Miaka mitatu tangu itoke mpya sealed ni ngumu km kupata bikra OG ya demu mkali leo hii uondoe seal mwenyewe...

Nahisi tumeelewana Chalii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Inauma lkn ndio ukweli.
 
Shukrani kaka nipo kwenye Game miaka 11 sasa kwenye hii biashara wengi sio wakweli kabisa na simu za Refurbished ndio zinazoongoza kusumbua na ubovu wengi wanadanganywa simu mpya Original hakuna kitu na ukipata mfano simu mpya ya note 5 original ni 1.5 Million Sealed yenyewe unakuta unaambiwa Note 5 mpya 400,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
Eheee....
Simu Km kweli ni mpya sealed Hua haishuki thamani hovyo hata km ni ya 2015 na leo ni 2020...Labda ishuke bei baada ya Muuzaji kuona km Haitoki kuepuka hasara zaidi...

Na ndio maana tunasema Hutaipata mpya...

Kwa sbb ni mfanya biashara gani atakubali aweke simu ya mwaka 2015 mpy dukani kwake nakati anajua kadr anavyoiweka inashuka bei na kupoteza soko..
Ni kweli wakati inatoka Note 5 mpya ilikua na thamani ya 1.5M, ndio leo umeipata still ni mpya....
Ila utamuuzia nani Note 5 kwa 1.5M kwa kigezo cha upya nakati pesa hio Unapata Note 10 yenye makubwa zaidi ya Note 5?

Pili watu wanashindwa kujiuliza ni kwa nini
Max Warranty ya hizi simu ni 2yrs...?

Warranty nying baada ya 2yrs sio za factory manufacture.
Hua hasa za repair stores na ndio maana hata wao hawatakupa 2yrs warrant.
 
Hakuna kwa sasa A20
Zipo Samsung A20s Bei yake ni 390,000/= tu nakupa Glass Protector na Cover
Bure
Simu mpya sealed ina warranty 2 years
Contact 0652992919
Insta or FB - Mark Anthorn Original PhonesView attachment 1397543

Sent using Jamii Forums mobile app
Nshapata mkuu. Niliitafuta sana A20 nikakosa ikabidi nichukue hiyo. Kuna mtu aliniagiza mi maisha yangu yote siwezi tumia Samsung.
 
Natafuta kioo cha Oppo F1s
Nipo Dar es salaam
0686133098

Sent from my A1601 using JamiiForums mobile app

Habari kiongozi ulifanikiwa kupata hiki kioo mkuu...?

Ulikipata duka gani na bei yake inaendaje kiongozi...?

Thanks bro.
 
Hawajawahi nishawishi uimara wa screen zao. Na muundo wa simu zao nyingi huwa siupendi ukiachana na hizi A series ambazo nazo naziona kama Infinix zilizochangamka.
Bi mkubwa ni shabiki wa Samsung, namna ya utunzaji wake ulivyo na simu zake zinavyoharibika screen ndo mpaka kakubali nimbadilishie brand next time.
 
Kwa hiyo bora hata i phone nazan vioo viko imara?nina s 8 hapa tayal kioo kinaweka msital kwa pembeni mdogo hiv..mafund wanasema mwanzo wa kioo kufa..bei yake inakimbiza mia 190!!huu ndio upuuzi sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo bora hata i phone nazan vioo viko imara?nina s 8 hapa tayal kioo kinaweka msital kwa pembeni mdogo hiv..mafund wanasema mwanzo wa kioo kufa..bei yake inakimbiza mia 190!!huu ndio upuuzi sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiko kioo kinakufa muda sio mrefu, jipange kutafuta kingine. Wapi kioo cha S8 kinapatikana kwa 190,000?

Kati Ya Toleo la samsung la S-series limepata lawama nyingi...Basi S8 linaongoza.....
 
Kwa hiyo bora hata i phone nazan vioo viko imara?nina s 8 hapa tayal kioo kinaweka msital kwa pembeni mdogo hiv..mafund wanasema mwanzo wa kioo kufa..bei yake inakimbiza mia 190!!huu ndio upuuzi sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bi mkubwa simu yake imeweka mistari ya blue na red kwenye kioo, wenzake kazini hivyohivyo, hapa nilipo hivyohivyo. Ngoja sasa hizi folding screen zao lazima watu wajutie hela kupotea kununua simu hizo.
 
Kwa hiyo bora hata i phone nazan vioo viko imara?nina s 8 hapa tayal kioo kinaweka msital kwa pembeni mdogo hiv..mafund wanasema mwanzo wa kioo kufa..bei yake inakimbiza mia 190!!huu ndio upuuzi sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kioo gani utapata kwa 190K!
Sidhani hata laki mbili inatosha vioo vyenye deko lakini bei kubwa.
 
Back
Top Bottom