Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Vitu kama simu vitashuka bei, vitu muhimu kama vyakula vitapanda bei.
Bora utumie kitochi kuliko kukosa chakula
Wana jukwaa kwema......

Kama week 3 nyuma humu nilikua naweza bei za bidhaa, kuna baadhi ya watu walikuja juu bei kubwa, dalali,umeajiriwa na mhindi etc.
Nikawapa jibu moja kwa kipindi hiki bidhaa zinapanda na kama kuna mfanyabiashara ana mzigo store hauzi tena jumla, bado wakabisha.

Basi njoeni mtaani tufanye biashara maana mtaa ndio una majibu mazuri sio JF ikawa kimya.
Jana Dubai wamefunga mipaka yao na hakuna ndege kuingia.....
Dubai ndio ilikua imebaki kwa wafanyabiashara kwenda chukua mzigo.

Tutarajie vitu kupanda bei sana leo simu utaulizia bei unaambiwa 600,000 baada ya siku kadhaa utakuta 1,200,000.

Karibuni mtaani kwenye maisha halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LG G6 THING Q
Display 5.7
Corning gorilla glass 3
Ram 4gb
Rom 32gb
Network 4g
Fingerprint
Face id
Dual camera
Non-removable Li-Po 3300 mAh batteryChargingFast charging 18W, 50% in 30 min Quick Charge 3.0 usb type C
WPC&PMA wireless charging US

Condition used no scratches

Bei 250k
FB_IMG_1586759260666.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo dar..?
Wapendwa anaeweza kuifanya simu yangu iweze kutumia google play store anisaidie, ni Huawei Y max toleo la december 2019, ram 4GB, internal storage 128GB, nipo dar naweza lipia mpaka tsh.30000/= kwa atakae nifanyia installation. Note; nimeenda kariakoo wameshindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung Galaxy S7 Edge
CAPACITY: 32 GB
CONDITION: new (boxed)
Price:530,000
Inquiries: 0714 036595 WhatsApp&Call
 

Attachments

  • FD18B5AF-57F5-4322-97DA-83CCCE082FEE.jpeg
    FD18B5AF-57F5-4322-97DA-83CCCE082FEE.jpeg
    25.8 KB · Views: 3
  • 8F84B244-A592-48FC-A16E-D72626B5C3E2.jpeg
    8F84B244-A592-48FC-A16E-D72626B5C3E2.jpeg
    25.8 KB · Views: 3
Samsung Galaxy s6
CAPACITY: 32GB
Condition:new (sealed)
PRICE:290,000 Tsh only
Inquiries: 0714 036595 WhatsApp&Call
 

Attachments

  • 95295D49-2A55-4C97-8615-B810E6A797C8.jpeg
    95295D49-2A55-4C97-8615-B810E6A797C8.jpeg
    124.1 KB · Views: 3
Samsung Galaxy A51
128GB

Bei: 720,000


Simu zipo sealed na zina warranty ya Samsung miaka miwili.
Napatikana DSM, unaweza kuja dukani au kufanyiwa delivery au kutumiwa kama upo nje ya DSM.

Contact : 0625547767

00000IMG_00000_BURST20200409165028359_COVER.jpg
00000IMG_00000_BURST20200409170355812_COVER.jpg
00000IMG_00000_BURST20200409170536594_COVER.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom