Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 897
- 2,835
Na mimi naomba nikucheki mkuu kama hutojali unipe uwo mchongo
0714 036595 Nicheki hapo uaminifu muhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0714 036595 Nicheki hapo uaminifu muhimu.
hapana, hawakuweka mfumo uo kwenye simu, kipindi kile nadhani huawei wanamgogoro na USA wakatoa toleo ambalo halina mfumo endeshi wa google.
0783270283
Wana jukwaa kwema......
Kama week 3 nyuma humu nilikua naweza bei za bidhaa, kuna baadhi ya watu walikuja juu bei kubwa, dalali,umeajiriwa na mhindi etc.
Nikawapa jibu moja kwa kipindi hiki bidhaa zinapanda na kama kuna mfanyabiashara ana mzigo store hauzi tena jumla, bado wakabisha.
Basi njoeni mtaani tufanye biashara maana mtaa ndio una majibu mazuri sio JF ikawa kimya.
Jana Dubai wamefunga mipaka yao na hakuna ndege kuingia.....
Dubai ndio ilikua imebaki kwa wafanyabiashara kwenda chukua mzigo.
Tutarajie vitu kupanda bei sana leo simu utaulizia bei unaambiwa 600,000 baada ya siku kadhaa utakuta 1,200,000.
Karibuni mtaani kwenye maisha halisi.
Genuine iPhone X
Clean Condition like New
64GB | Black
Battery Healthy 87%
With Original Charger warranty 5 years
Free Protector & Covers
Contact 0652992919
FB or Insta - Mark Anthorn Original Phones
NB - Siuzi simu za Refurbish kutoka China wala Dubai
View attachment 1413791View attachment 1413792
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapendwa anaeweza kuifanya simu yangu iweze kutumia google play store anisaidie, ni Huawei Y max toleo la december 2019, ram 4GB, internal storage 128GB, nipo dar naweza lipia mpaka tsh.30000/= kwa atakae nifanyia installation. Note; nimeenda kariakoo wameshindwa.
Ungeweka na bei zake sasa.Mpya boss wangu sema zimekata sokoni zipo A10s A30s A50 A51 A71
A10s~ 290,000
Ndio