Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

Atleast hii kutangaza mafanikio ni nzuri, naweza kuwa na interest za kuuliza zaidi
Kuliko kuniita mbali ninywe mirinda unioneshe hizo forever sio ustaarabu kabisa
 
Forever living. Wanajitahidi mungu anawaona atawapa njia kazaneni maana dunia ndo katka vtabu waliandika mtakula kwa jasho.
Amen
 
Labda wewe hawajalkukwaza mm walishanikwaza nikawachukia hata mtu a niambie amenunua chopa sitaki kusikia hiyo Mikitu, gnld bla bla
Kuna mtu online alianza hivo kama una laki mbili, njoo tufanye biashara bla bla faida mara mbili nikauliza akaniambia njoo whatsapp, nikaenda akaniunganisha na mtu mwingine, huyo mtu akatuma video anajieleza Daaah nlichoka
Hayo yote ya nini, kwanini asingekua straight tu kuwa ni biashara yake forever niamue yes or no
 
Forever living. Wanajitahidi mungu anawaona atawapa njia kazaneni maana dunia ndo katka vtabu waliandika mtakula kwa jasho.
Amen
Wana jitahidi kwa kudanganya watu? Hata Mungu hapendi uongo
 
Wana jitahidi kwa kudanganya watu? Hata Mungu hapendi uongo
Hapana sio kudanganya watu.
Nasemea jitihada zao katika haya maswala ya biashara ngumu(kwa upande wangu) ila wanalipeleka sana
 
Sihudhurii semina kama haina vipeperushi ntakavyosoma na kuvielewa kwanza. ...

Mambo ya kubebana kama mbuzi kwenye gunia, nimekataa
 
Kunamkenya mmoja fb alinifta mi nikajua ni mchongo wa maana kumbe ni ujinga wa forever..ni anatuma vipeperushi na ma quote yao kwenye pm yangu balaaa
 
kuna mmoja alinitoa home had Sinza kaniambia kuna mchongo wa maana kufika huko wanaleta habari za utapeli wao hapo ikizangatia nimekopa pesa ya nauli na chakula... nilimtight yule demu had akanirudishia gharama zangu.
 
Kunamkenya mmoja fb alinifta mi nikajua ni mchongo wa maana kumbe ni ujinga wa forever..ni anatuma vipeperushi na ma quote yao kwenye pm yangu balaaa
Yani badala ufurahie biashara unakaa umenuna teh wakasome hii mbinu yao ujinga mtupu
 
huo mfano wa tatu yashanikuta... unatumiwa video kuna mdada anaongea mafanikia aliyoyapta .. mpaka mwisho anataja forever living! ... mimi nlijua biashara ya maana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…