Nyingi biscuit haswa!!! wauzaji mfuko mmoja wa cement tofali 55-60
kwa wastani wa tofali 43-45 kwa mfuko mmoja; mfano sasa hv baadhi ya sehemu mfuko wa cement (twiga) ni sh elfu 15; ukinunua mifuko 25 ni sawa na (375,000) ;usafir approxomately waweza tumia sio chini ya elfu thelathini kama sio mbali sana kutoka duka la cement; gharama za kufyatua kwaida ni sh 5000 kila mfuko X 25 = 125,000; gharama za maji ya kufyatulia na kumwagia huwezi tumia zaidi ya elfu 50 ;gharama ya kukodi machine ni elfu 25 kwa mifuko 25; gari 1 kubwa za mchanga ( ni 160,000-260,000 inategemea na umbali); ukichukua gari moja ya mchanga kwa ajili ya mifuko 25 ya cement pamoja na gharama za maji na kufyatua =====sawa na 835,000 (maximum);735,000 (minimum); ambapo kwa wastani wa tofali 43 kila mfuko utapata jumla ya tofali 1075 ; ambapo ukinunua tofali sh 1000 >>>>=1075 x1000= 1,075,000 >>>> 1,075,000-835,000= utakuwa umesave 240,000/=
Aproximatelly ukifyatua mweneywe utakuwa unasave sh 240,000/= kwa kila tofali 1075: kwa mahesabu ya haraka haraka (maximum approximation)