loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Mkuu uliwacheki kiluvya brokers & sells agents?? Wanauza matofali bei nzuri, nina eneo kiluvya kwa kadege wameniuzia ni karibu na hapo kwa sumayeKiluvya kwa sumaye karibu na kibaha kisarawe hivi
Wanauza na viwanja kwa kulipa kwa installment, wameniuzia plot maeneo ya kwa kadege karibu na hyo ya kwa sumaye. Bei zao ni nzr sana.Kiluvya kwa sumaye karibu na kibaha kisarawe hivi
Ni kampuni ya udalali, na maeneo yao yamepimwa na baada ya kumaliza deni lako wanakusaidia kupata hati yako safi ndani ya miez miwili, binafsi nimechukua mwezi huu. Ingawa pia wana maeneo sehemu mbali mbali.Kiluvya kwa sumaye karibu na kibaha kisarawe hivi
Hasa kama budget yako ni 2.7M c ungechukua tofali zinazoendana na pesa uliyo nayo sasa shida ipo wapi?Nilikuwa na bajeti ya 2.7mil nikitaka tofari si chini ya 3,000. Sikutegemea ningekosa ndo maana nikatafuta mwenye chini ya hapo na sababu hasa inayowafanya wakomae na bei ili hali wakilia vyuma vimekaza
Suka na temboni yapo kwa bei ya 800 - 900 inategemea unachukua mangapi. Ukimtumia fundi mzoefu na hayo maeneo unapat a bila wasiwasi.Sehemu gani mkuu
Mie nipo saranga,tofali nachukua kwa 1100
Nunu cement na mchanga ufyatue mwenyewe. tatizo mnapenda kutafuniwa , kwanza utakuta tofali zenyewe ni biscut
Wewe nimekuelewa!Nyingi biscuit haswa!!! wauzaji mfuko mmoja wa cement tofali 55-60
kwa wastani wa tofali 43-45 kwa mfuko mmoja; mfano sasa hv baadhi ya sehemu mfuko wa cement (twiga) ni sh elfu 15; ukinunua mifuko 25 ni sawa na (375,000) ;usafir approxomately waweza tumia sio chini ya elfu thelathini kama sio mbali sana kutoka duka la cement; gharama za kufyatua kwaida ni sh 5000 kila mfuko X 25 = 125,000; gharama za maji ya kufyatulia na kumwagia huwezi tumia zaidi ya elfu 50 ;gharama ya kukodi machine ni elfu 25 kwa mifuko 25; gari 1 kubwa za mchanga ( ni 160,000-260,000 inategemea na umbali); ukichukua gari moja ya mchanga kwa ajili ya mifuko 25 ya cement pamoja na gharama za maji na kufyatua =====sawa na 835,000 (maximum);735,000 (minimum); ambapo kwa wastani wa tofali 43 kila mfuko utapata jumla ya tofali 1075 ; ambapo ukinunua tofali sh 1000 >>>>=1075 x1000= 1,075,000 >>>> 1,075,000-835,000= utakuwa umesave 240,000/=
Aproximatelly ukifyatua mweneywe utakuwa unasave sh 240,000/= kwa kila tofali 1075: kwa mahesabu ya haraka haraka (maximum approximation)
ThanksUnaweza kuuziwa hiyo 800/= au 700/= ila utakuwa umekula kichapo cha ubora, ni sawa kwa mama ntilie unakula na 5 star hotel unakula pia, ila standard ni mbingu na aridhi, mbali mno.
Nimekuelewa mkuuSuka na temboni yapo kwa bei ya 800 - 900 inategemea unachukua mangapi. Ukimtumia fundi mzoefu na hayo maeneo unapat a bila wasiwasi.
Nipe namba zaoNi kampuni ya udalali, na maeneo yao yamepimwa na baada ya kumaliza deni lako wanakusaidia kupata hati yako safi ndani ya miez miwili, binafsi nimechukua mwezi huu. Ingawa pia wana maeneo sehemu mbali mbali.
0716479547, plot yako iko wapi jirani tufahamianeNipe namba zao
Mkuu acha kulialia. Weye ndie unaetutia hasara sisi wauza matofali. Hebu twende sawa: 1,200 - 800 = 400 x 3,000 = Tsh 1,200,000 = hasara. Unaona eeh?Siku hizi biashara ya kuuza matofali imeshamiri sana kutokana na watu wengi kununua mashine za kutumia umeme katika kuchanganya cement na mchanga. Tatizo ni kuwa wafanyabiashara ya matofali wote ni kama wanakariri bei ya soko ni 1,000 au 1,100 au 1,200. Sasa unakuta kila mmoja ana matofali kibao yamemdodea kutokana na usawa mgumu; hata wajenzi hawawatumi mafundi wanaenda kununua wenyewe kwa kubargain.
Mimi nilikuwa nataka kama tofali 3,000 hivi nikapitia wauza tofali kama 5 hivi wote wanakomaa kwa bei moja ya 1,100? Mimi nilikuwa nahitaji kwa 800 au 900 kwa kulipa 2.4m au 2.7mil. Sasa wewe unakomaa na bei yako alafu tofali zinakudodea, si ungechukua hiyo 2.7 kwa vile nanunua mengi ukazungushia hiyo hela hata kama faida ni kidogo kuliko kukomaa na ndizi bei 200 wakati zinaanza kuoza? Hata tofali zikikaa sana hupoteza uimara wake.
Wanajanvi nisaidieni hili limekaaje?
Nimepata jamaa kaniuzia faster fastet kwa 950/= hadi site! Na nyie acheni hizo!! Nilijua ningepata! Ngangania 1,200 usawa huu???Mkuu acha kulialia. Weye ndie unaetutia hasara sisi wauza matofali. Hebu twende sawa: 1,200 - 800 = 400 x 3,000 = Tsh 1,200,000 = hasara. Unaona eeh?
Kwa bei hiyo linakuwa tayari limechomwa au bado?Umasikini wako....tu
Tofali zetu hazichachi
Endelea kupanga....kujenga wewe bado
Au ndo unajifunza...
Oook Samahani kumbe una migholofa
Karibu tena...
Tofali za kuchoma zipo tshs 30 moja
Hapa Msata