Wauzaji wa matofali badilikeni

Kwahiyo lengo lako tujuwe kama na wewe unajenga banda lako?
 
kwanini usifyatue mwenyewe mfyatuaji anakuchaji kila mfuko elfu 5 kukodi mashine elfu 5 utakuta kwa pesa hiyo utapata matofali kwa bei nzuri na yaliyo bora kuliko haya mfuko wanatoa hadi tofali 40
 
Kwahiyo lengo lako tujuwe kama na wewe unajenga banda lako?
Kama kujenga nilishajenga saana! Nilitaka kujua kwanini wauzaji wa tofari hukomaa na bei moja utafikiri wameambizana Dar es Salaam nzima bei ni moja? Why?
 
Kama kujenga nilishajenga saana! Nilitaka kujua kwanini wauzaji wa tofari hukomaa na bei moja utafikiri wameambizana Dar es Salaam nzima bei ni moja? Why?
Umejenga au umehifadhi matofali sehemu yasiibiwe?

Unaelewa tofauti ya biashara na huduma?
 
Mimi nadhani tofali iliyotengenezwa kwa cement imara na ratio nzuri ya mchanga haiharibiki kama mtoa maada alivosema .....

N.B Chukua hiyo 2.7 yako kafyatue tofali[emoji48]
 
Mbona hujaweka hesabu za vibarua? Kukodisha nashine au kununua?
 
Tofali bei yake ni Tsh1,000/= mkuu ukipata za chini ya bei hiyo jua pana walakinil.
 
Always, cheaper is expensive brother!!!
 
Kwahiyo kwa hizo tofali 3000 anazotaka yeye atakuwa amesave laki saba na ushee Tsh 700,000 +
 
Asante kwa Tangazo mkuu
Mwaka ukiisha na ww unanyanyua mikono na kumshukuru Mungu kuwa na plot, then mwakani unaanza kukusanya tofali kdg kdg,baba ubaya akiingia awamu ya pili nawe unakuta ushasimamisha house.
 
Watu wa pwani anakuwa anauza tusamaki tuwili ila ukija unataka kutununua twote atakwambia hawezi kuuza zote ...anakuuliza unataka kununua wote ili yeye abaki na nini cha kuuza? anakwambia kama hutaki mmoja bora uondoke yeye anataka wa mmoja mmoja.

Uenda hii ikawa ndo tabia iliyosambaa hadi kwa wauza Tofari, ma zero brain!
 
Sijaona mantiki ya uzi zaidi ya malalamiko. .
Mtu anaweka bei yake kutokana na utengenezej wenyewe. Inawezekana labda ulipata kwa bei ya chini lakini ubora wake ukoje? Kwenye tofali kuna wengine hawazingatii ratio ya cement na mchanga.
Na tofali likizid kukaa tena kipindi kama hichi cha mvua linakomaa kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…